Pythagoras
JF-Expert Member
- Sep 24, 2013
- 2,327
- 6,114
Njiwa ametupia snickers chini, halafu kabeba zabibu.Hapana nimepatia, machematician haturudii mara mbili,,,Mshana Jr ajibu kwanza ili niendelee kukokotoa
Alright, let's crack this little puzzle!
Watu hawajui math jaman😂Wajuzi na wanazi wa vikokotoo karibuni muoneshe umwamba wenu hapa.. Kila siku kutakuwa na challenge mpya anuwaiView attachment 3311415
14Wajuzi na wanazi wa vikokotoo karibuni muoneshe umwamba wenu hapa.. Kila siku kutakuwa na challenge mpya anuwaiView attachment 3311415
Jibu: 15Wajuzi na wanazi wa vikokotoo karibuni muoneshe umwamba wenu hapa.. Kila siku kutakuwa na challenge mpya anuwaiView attachment 3311415
X + X + X = 60, X = 20
10+5*4Wajuzi na wanazi wa vikokotoo karibuni muoneshe umwamba wenu hapa.. Kila siku kutakuwa na challenge mpya anuwaiView attachment 3311415
Kwamba njiwa kapiga buti na kashika sjui ndo popcon hizo hapo kweli ni kizaa zaa🤣Hapo mwisho ndo kwenye mtego, njiwa ametupia snicker 😂
Maelezo mengi halafu umechemka😁😁😁Sawa, hebu tuangalie hii hatua kwa hatua!
Tukiangalia milinganyo:
* Jozi tatu za viatu zinajumlisha 30. Hii inamaanisha jozi moja ya viatu ni sawa na 30 / 3 = 10. Kwa hivyo, kiatu kimoja ni sawa na 10 / 2 = 5.
* Njiwa wawili pamoja na jozi ya viatu ni sawa na 20. Kwa kuwa jozi ya viatu ni 10, njiwa wawili lazima wawe sawa na 20 - 10 = 10. Kwa hivyo, njiwa mmoja ni sawa na 10 / 2 = 5.
* Konzi mbili za aiskrimu pamoja na njiwa ni sawa na 13. Kwa kuwa njiwa ni 5, konzi mbili za aiskrimu lazima ziwe sawa na 13 - 5 = 8. Hii inamaanisha konzi moja ya aiskrimu ni sawa na 8 / 2 = 4.
Sasa hebu tuangalie mlinganyo wa mwisho:
Kiatu kimoja + (njiwa amevaa viatu) × konzi moja ya aiskrimu = ?
Tunaweza kuweka thamani tulizopata:
5 + (5 + 10) \times 4 = ?
5 + (15) \times 4 = ?
5 + 60 = 65
Kwa hivyo, jibu ni 65
Chanzo nimekiweka kapuni
😀 twende kaziMimi ni mchafuu kwenye hesabu, sawa wewe mzee wa tunguli??, twende sawa
let Viatu be=A
Let ndege be=B
Let icecream be=C
Eqn1
A+A=2A
2A+2A+2A=30
A=5
2B+10=20
B=5
2C+5=13
C=4
5+5-4=
Bodmas
5+20=25
Answer=25
Kabla sijaendelea mzee wa tunguli nimepatia, niendelee??????
Zunguuka jibu standard ni hilo.Maelezo mengi halafu umechemka😁😁😁
Apatia bhana sema ana mbwembwe sana wakati swali la kusolve chini ya dk 1Maelezo mengi halafu umechemka😁😁😁