Sijaviona 😂 ngoja niizoom picha vizuriNa amebeba vibox viwili vya zabibu
Wajuzi na wanazi wa vikokotoo karibuni muoneshe umwamba wenu hapa.. Kila siku kutakuwa na challenge mpya anuwaiView attachment 3311415
Mimi ni mchafuu kwenye hesabu, sawa wewe mzee wa tunguli??, twende sawaWajuzi na wanazi wa vikokotoo karibuni muoneshe umwamba wenu hapa.. Kila siku kutakuwa na challenge mpya anuwaiView attachment 3311415
Soln.Wajuzi na wanazi wa vikokotoo karibuni muoneshe umwamba wenu hapa.. Kila siku kutakuwa na challenge mpya anuwaiView attachment 3311415
Sawa, hebu tuangalie hii hatua kwa hatua!Wajuzi na wanazi wa vikokotoo karibuni muoneshe umwamba wenu hapa.. Kila siku kutakuwa na challenge mpya anuwaiView attachment 3311415
Mimi ni mchafuu kwenye hesabu, sawa wewe mzee wa tunguli??, twende sawa
let Viatu be=A
Let ndege be=B
Let icecream be=C
Eqn1
A+A=2A
2A+2A+2A=30
A=5
2B+10=20
B=5
2C+5=13
C=4
5+5-4=
Bodmas
5+20=25
Answer=25
Kabla sijaendelea mzee wa tunguli nimepatia, niendelee??????
Asante, nasi tupate faida, naomba kuuliza kwanini jubu ni 20, 96 na 6.6?Hiyo ya kwanza jibu ni 20
Hiyo ya pili jibu ni 96
Hiyo ya tatu jibu ni 6.6
Hapana nimepatia, machematician haturudii mara mbili,,,Mshana Jr ajibu kwanza ili niendelee kukokotoaView attachment 3311449
Haya rudi kaangalie tena, there are hidden things
Sure, mtunzi anastahili pongezi kwenye mlinganyo wa 3Mtego huo hawajaona wengi