Mateso mengine tunajitakia wenyewe bhana

Meli inaelea lakini shillingi inazama[emoji28][emoji28][emoji28]
Naona unawatafuta watu wanene kwa hali na mali
 
Meli inaelea lakini shillingi inazama[emoji28][emoji28][emoji28]
Naona unawatafuta watu wanene kwa hali na mali
Niwapeleke wapi[emoji57][emoji57][emoji57] wanachoshaga sana kwenye gemu hata sitaki kuwasikia.[emoji1322][emoji1322][emoji1322][emoji1322]
 
Subiri wanakuja
Leo wembamba tumepumzishwa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Nyie nasikia mkiwa kwenye gem mnatingishika mabega badala ya kiuno[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Duu huyo jamaa na mwanafunzi safi sana baharia mzoefu. Utasikia hakuna bikra muulizeni huyo mwana anazijua
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…