Gulio Tanzania
JF-Expert Member
- Jan 30, 2018
- 3,383
- 7,976
Kama ni mkristo uwe una soma biblia kitabu chausiku ukilala ndoto nyingi unaota unafanya mapenzi ukitafta demu anaweza kukuchukia tu baada ya mda mfupi au ukihiitaki kuwa nae pesa kwako inakuwa changamoto na ukitoka nae nguvu za kiume zinapungua mambo ya kiuchumi kwako yanayumba pesa haikaliki kuchukukiwa bila sababu kwa mwanaume baadhi nasikia yanawafanya wapende ushoga na wanawake wanaishia kusagana aisee hayo madude ombi yasikikute Kuna mda unaweza kutamani hata kujiua fikiria huna mwanamke Wala mtt lkn una madeni ambayo hayaishi na ukiangalia huna Cha maana una miliki pia Huwa yanafanya mtu udharaulike yaani unaweza kwenda sehem ukaona kabsa huyu jamaa au hawajamaa wameshanitoa point 3 Kwa kukuangalia tu...nimehangaika sana kuhusu hii issue.
Hakuna jini hapo maisha ni zaidi ya kulala na mwanamke, msipigane fix za kijingajinga hali ngumu inawapata wote hata wasiopatwa na hilo tatizo la wet dreams, na usilolijua 85% ya watu wote ulimwenguni hupata hio kitu unataka kusema 85% ya watu wote duniani wana hali ngumu kihivyo? Hizo ni mentality tuNjoo dm mkuu tuongee
Tulia aje atupe aya za kwenye kile kitabu cha hadithiHahahaha sasa nitulie
Kuna wale manabii na wachungaji na mitume wa mchongo na masheikhe ubwabwa wanamwambia hivyo kwamba akipiga bao usingizini basi ndio hivyo hapati pesa hela hapati na maisha yanakua magumu kwenye upande wake, sasa hio ipo dunia nzima watu karibu 85% wanapiga mabao usingizini ina hata maana wale wanaopigwa mabomu kule Beirut wote wanapiga mabao usingizini ndio maana maisha yamewaelemea?Tatizo lako hapa ni lipi?
Hausongi mbele kiuchumi ?
Kuota ndoto ukiwa ufanya mapenzi?
Unahisi hapa ni lipi mkuu ?
Kuna wale manabii na wachungaji na mitume wa mchongo na masheikhe ubwabwa wanamwambia hivyo kwamba akipiga bao usingizini basi ndio hivyo hapati pesa hela hapati na maisha yanakua magumu kwenye upande wake, sasa hio ipo dunia nzima ina maana wale wanaopigwa mabomu kule Beirut wote wanapiga mabao usingizini ndio maana maisha yamewaelemea?
Ndio asichokijua kupiga bao usingizini kiroho maana yake mwili unajisafisha kiroho unaondoa negative energies kwa njia hio means ukishajimwagia bao usingizini negative energies zinakua zimekuondoka unabaki na positive energies kwa wingiAisee Ila nataka nimsikilize vizuri mtoa mada.
Yawezekana issue yake inahitaji uponyaji wa kisaikolojia na sio kiroho
Ndio asichokijua kupiga bao usingizini kiroho maana yake mwili unajisafisha kiroho unaondoa negative energies kwa njia hio means ukishajimwagia bao usingizini negative energies zinakua zimekuondoka unabaki na positive energies kwa wingi
Sio kweli sababu ni kukaa muda mrefu bila kulala na mwanamke au kulala vibaya maeneo nyeti yakijishtua ndio hali inakua hivyo ni sawa na kufungua kufuli na funguo unavyoitekenya kufuli na funguo inavyofunguka ndio ipo hivyo kwa hio ukilala vibaya na hujapata kulala na mwanamke muda mrefu maeneo nyeti yakashtuliwaKupata ndoto kama hizo hutokana na lusting thoughts.
Kamaa hilo tatizo linamtokea MTU Mara kwa Mara - lazima something is wrong.Sio kweli sababu ni kukaa muda mrefu bila kulala na mwanamke au kulala vibaya maeneo nyeti yakijishtua ndio hali inakua hivyo ni sawa na kufungua kufuli na funguo unavyoitekenya kufuli na funguo inavyofunguka ndio ipo hivyo kwa hio ukilala vibaya na hujapata kulala na mwanamke muda mrefu maeneo nyeti yakashtuliwa
Kamaa hilo tatizo linamtokea MTU Mara kwa Mara - lazima something is wrong.
ni kweli ndoto nyevu zinamtokea mtu aliyeko kwenye puberty stage. wewe ushakomaa vyakutosha unaota unafanya mapenzi zaidi ya mara moja ujue ubongo wako umeifadhi fikra za ngono kwa wingi kupitia subconscious mind ndo maana unaota na huo ndo hutumiwa kama mlango kwa majini mahaba
Hiki kitu hakipo hakuna scientific proof ya haya makitu kwa hio msimezeshane upuuzi dawa ni kutembelea makaburi ndio utaelewa vizurijini mahaba