nilimtafta mtumishi wa mungu akanipa hayo maelezoUmejuaje msababishi ni huyo takataka??* Kila kinachotokea kwenye maisha yako wewe ndio umekifungulia mlango...Jiulize ulifungua mlango gani¿? Ukiujua utaufunga.
Acha kutafuta kuombewa,,,tafuta maarifa ya neno la Mungu na ujiombee mwenyewe..Soma biblia na pia vitabu sahihi vya watumishi sahihi..Toa wazo la kuombewa kwenye kichwa chako..nilimtafta mtumishi wa mungu akanipa hayo maelezo
😂😂😂 ana UTI sugu lnknKama vipi niachie mimi huyo jini mahaba ili awe mchepuko wangu.
Asanteh mkuu hayo mazaga unayo uniuzie maana kupata mfupa wa nguriwe uliosagwa mtihani kidgoPole sana kwaunayo yapitia.
Tafuta kibiriti upele changanya na unga wa mkunazi,changanya na mfupa wanguruwe ulio sagwa kua unga. chemsha mafuta yakujipaka mgando ndio mazuri sio lotion.
Kisha changanya hizo dawa namafuta.
Utakua unajipaka asubuhi najioni
Litaondoka namambo yako yatafunguka vizuri.
usiku ukilala ndoto nyingi unaota unafanya mapenzi ukitafta demu anaweza kukuchukia tu baada ya mda mfupi au ukihiitaki kuwa nae pesa kwako inakuwa changamoto na ukitoka nae nguvu za kiume zinapungua mambo ya kiuchumi kwako yanayumba pesa haikaliki kuchukukiwa bila sababu kwa mwanaume baadhi nasikia yanawafanya wapende ushoga na wanawake wanaishia kusagana aisee hayo madude ombi yasikikute Kuna mda unaweza kutamani hata kujiua fikiria huna mwanamke Wala mtt lkn una madeni ambayo hayaishi na ukiangalia huna Cha maana una miliki pia Huwa yanafanya mtu udharaulike yaani unaweza kwenda sehem ukaona kabsa huyu jamaa au hawajamaa wameshanitoa point 3 Kwa kukuangalia tu...nimehangaika sana kuhusu hii issue.Jini mahaba linakuaje mkuu, na unajuaje ni yeye
Waongo haonilimtafta mtumishi wa mungu akanipa hayo maelezo
Tafuta wazee wa Surat al Jin wamrudishe nyumbani.Kwema.
Naomba niende kwenye mada binafsi nasumbuliwa na jini mahaba kiukweli kama hujawahi kupitia adhabu ya haya madude unaweza kuonana kama vitu vya kufikirika
Mimi binafsi nina umri wa miaka 36 lakini kiuchumi niko kama dogo wa 20+ Yani Kila nachfanya narudishwa nyuma Hatua mia ukianzisha mahusino inatokea tu dharula unachukiwa mazima pia hata kudharauliwa Yani kama Kuna mada inazungumzwa na washikaji nikichangia mada nitatumia nguvu nyingi sana kusikilizia
Mambo ni mengi nimejarbu kuwapigia baadhi ya watumishi wananiombea lakini Hali inabaki pale pale kiukweli nimechoka na hii Hali sifanyi starehe lakini unakuta kwangu ni rahisi kukopesheka kuliko kuingiza naombeni msaada wadau nijinasue vipi kwenye huu mtego nimechoka.
Pia soma
- Rafiki yangu anasumbuliwa na jini mahaba. Je ni namna gani ya kumtoa?
Chumvi ya mawe ile acha nisiseme mengi ila ogea chumvi ya mawe huku ukinuia aondoke katika maisha yako baasi mengine utapigwa kibunda tuKwema.
Naomba niende kwenye mada binafsi nasumbuliwa na jini mahaba kiukweli kama hujawahi kupitia adhabu ya haya madude unaweza kuonana kama vitu vya kufikirika
Mimi binafsi nina umri wa miaka 36 lakini kiuchumi niko kama dogo wa 20+ Yani Kila nachfanya narudishwa nyuma Hatua mia ukianzisha mahusino inatokea tu dharula unachukiwa mazima pia hata kudharauliwa Yani kama Kuna mada inazungumzwa na washikaji nikichangia mada nitatumia nguvu nyingi sana kusikilizia
Mambo ni mengi nimejarbu kuwapigia baadhi ya watumishi wananiombea lakini Hali inabaki pale pale kiukweli nimechoka na hii Hali sifanyi starehe lakini unakuta kwangu ni rahisi kukopesheka kuliko kuingiza naombeni msaada wadau nijinasue vipi kwenye huu mtego nimechoka.
Pia soma
- Rafiki yangu anasumbuliwa na jini mahaba. Je ni namna gani ya kumtoa?
Vipi kuhusu mavazi yako Na muonekane wako kaka?.....Mimi shida niliyonayo Huwa ni kuogopwa Na watu... asilimia kubwa wengi hudhania Mimi ni mpelelezi au watu wa usalama wa taifa😀😀, nikiingia kwenye kumbi za starehe napendelea kujitenga Na kukaa peke yangu, mavazi yangu Huwa napendelea kuvaa shati Na jeans au tisheti Na jeans muda mwingine Huwa najilipua Na Kaunda suti dark blue,..nikienda kule vijijini usukumani wasukuma wengi huniita tapeli, lakini nikiwa mjini naonekana wa maana sana kutokana Na uvaaji wangu Na style yangu ya maisha ya kujitenga... nicheki inbox kuna kitu naweza kukushauriusiku ukilala ndoto nyingi unaota unafanya mapenzi ukitafta demu anaweza kukuchukia tu baada ya mda mfupi au ukihiitaki kuwa nae pesa kwako inakuwa changamoto na ukitoka nae nguvu za kiume zinapungua mambo ya kiuchumi kwako yanayumba pesa haikaliki kuchukukiwa bila sababu kwa mwanaume baadhi nasikia yanawafanya wapende ushoga na wanawake wanaishia kusagana aisee hayo madude ombi yasikikute Kuna mda unaweza kutamani hata kujiua fikiria huna mwanamke Wala mtt lkn una madeni ambayo hayaishi na ukiangalia huna Cha maana una miliki pia Huwa yanafanya mtu udharaulike yaani unaweza kwenda sehem ukaona kabsa huyu jamaa au hawajamaa wameshanitoa point 3 Kwa kukuangalia tu...nimehangaika sana kuhusu hii issue.
Duh pole sana mkuu, kwa maelezo hayo hiyo ni changamoto sana.usiku ukilala ndoto nyingi unaota unafanya mapenzi ukitafta demu anaweza kukuchukia tu baada ya mda mfupi au ukihiitaki kuwa nae pesa kwako inakuwa changamoto na ukitoka nae nguvu za kiume zinapungua mambo ya kiuchumi kwako yanayumba pesa haikaliki kuchukukiwa bila sababu kwa mwanaume baadhi nasikia yanawafanya wapende ushoga na wanawake wanaishia kusagana aisee hayo madude ombi yasikikute Kuna mda unaweza kutamani hata kujiua fikiria huna mwanamke Wala mtt lkn una madeni ambayo hayaishi na ukiangalia huna Cha maana una miliki pia Huwa yanafanya mtu udharaulike yaani unaweza kwenda sehem ukaona kabsa huyu jamaa au hawajamaa wameshanitoa point 3 Kwa kukuangalia tu...nimehangaika sana kuhusu hii issue.