SIMIYU_EMPIRE
New Member
- Nov 29, 2021
- 3
- 0
Wadau wangu wa jamii forum Naomba kujua wapo naweza pata materials ya t-shirts printing (kutumia screen printing)..
Itapendeza nkipata mbeya mwanza na dar
Itapendeza nkipata mbeya mwanza na dar
Vipi mkuuMesh
Frem
Rangi
Daaaa mkuu NI nimejaza kvant kichwaniii kumbukumbu zinapotea......zinarudi,so zikirud nitaendelea kubandika.....
Asante mkuuKwa dar wapigie hawa jamaa 0717547355 wako kariakoo msimbazi karibu na big bon