Matengenezo ya smart TV 32 LG

Matengenezo ya smart TV 32 LG

Elongo Junior

Member
Joined
Apr 21, 2018
Posts
55
Reaction score
30
Habari za uzima wana JF?

Naulizia kwa wale wataalam wa kufanya matengenezo ya smart TV. Kuna 32 LG imeunguza taa pia kioo chake kime crake pembeni kwenye kona (90°)

Sasa kwa tatzo kama hilo inawezekana ikatengemaa na kurudi katika ubora wa awali. Msaada kwa wenye utaalamu. Nawasilisha
 
Kuunguza taa unamaanisha TV haina Backlight??
Issue ya kioo ni kwamba vioo vipo ila sio kirahisi sana
 
Vioo vipo thou adimu lakini bei ya kioo unaweza kukuta ni sawa na asilimia 70 ya bei ya tv mpya na ubahatike upate kioo kizuri maana unaweza funga kioo ukaona ubora wa picha umepungua
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom