Matema Beach-enjoy and relax

Matema Beach-enjoy and relax

NDINDA, thanks for the colorful contribution.
Ukienda mahali hapo bila booking wakati wa tourist season, unalala kwenye gari.
 
Matema beach, ni kitambo sana nilienda hapo mahala, nikirudi Bongo lazima nitie maguu.. Mbeya ndo kwetu bana.
 
Matema beach, ni kitambo sana nilienda hapo mahala, nikirudi Bongo lazima nitie maguu.. Mbeya ndo kwetu bana.
Seconded, ukitembelea nchi hii kuna sehemu nzuri sana ambazo si wengi wanazifahamu.
 
Back
Top Bottom