Kwa akili zako fupi umekaririshwa kwamba imani ni ile iliyotoka nje ya Afrika na unafikiri kwamba kabla hao hawajawaletea hizo imani waafrika hatukumfahamu Mungu kitu ambacho sio kweli.Hamas ni magaidi, ila majeshi ya israel si magaidi
Mtu anatetea haki yake wewe unamuita gaidi! Marekani amewaharibu sana enyi wapagani wa Tanzania na duniani kote msiokua na imani
الحمد الله: إِنَّ الَّذِينَ كَفَرُوا سَوَاءٌ عَلَيْهِمْ أَأَنْذَرْتَهُمْ أَمْ لَمْ تُنْذِرْهُمْ لَا يُؤْمِنُونَ
2:6 Al-Baqarah
Hakika wale walio kufuru ni sawa kwao ukiwaonya au usiwaonye, hawaamini.
خَتَمَ اللَّهُ عَلَىٰ قُلُوبِهِمْ وَعَلَىٰ سَمْعِهِمْ ۖ وَعَلَىٰ أَبْصَارِهِمْ غِشَاوَةٌ ۖ وَلَهُمْ عَذَابٌ عَظِيمٌ
2:7 Al-Baqarah
Mwenyezi Mungu amepiga muhuri juu ya nyoyo zao na juu ya masikio yao, na juu ya macho yao pana kifuniko. Basi watapata adhabu kubwa.
وَلَنْ تَرْضَىٰ عَنْكَ الْيَهُودُ وَلَا النَّصَارَىٰ حَتَّىٰ تَتَّبِعَ مِلَّتَهُمْ ۗ قُلْ إِنَّ هُدَى اللَّهِ هُوَ الْهُدَىٰ ۗ وَلَئِنِ اتَّبَعْتَ أَهْوَاءَهُمْ بَعْدَ الَّذِي جَاءَكَ مِنَ الْعِلْمِ ۙ مَا لَكَ مِنَ اللَّهِ مِنْ وَلِيٍّ وَلَا نَصِيرٍ
Al-Baqarah 120
Mayahudi hawawi radhi nawe, wala Wakristo, mpaka ufuate mila yao. Sema: Hakika uwongofu wa Mwenyezi Mungu ndio uwongofu. Na kama ukifuata matamanio yao baada ya ujuzi ulio kwisha kujia, hutapata mlinzi wala msaidizi kwa Mwenyezi Mungu.
Mtume wao alikuwa mpuuzi alijipa mamlaka ya kiunguKwa hiyo mtume alifundisha hamas wateke, kubaka na kuua raia kwa madhumuni mazuri?!!!
Hamna cha wema ni imani ya vurugu tu.Hizo porojo na chuki zako tu.
Huelewi kuwa sheria zote za kimataifa za mateka wa kivita kupewa haki zao, sheria za kutokuuwa wanawake, watoto na wazeee vitani zilianzishwa na Uislam. Soma Uislam upate faida.
Kuna mwanamke mwandishi wa habari maarufu sana Uingereza anaitwa Yvonne Ridley, alienda kuandika vita vya Afghanistan kwa bahati nzuri akatekwa na Taliban, alivyoachiwa akasilimu. Unaelewa kwanini? Msikilize mwenyewe:
View: https://youtu.be/nFqtZd0y_0g?si=uykOWd8egquo2Oum
Uislam ni mwema sana.
Huyu alikuja mpaka Tanzania akaongea kisa chake hicho Starlight na MUM.
Wewe unangoja nini?
Uzuri waislamu uchafu wote waa Muhammad mmeandikaUnajiaribia na utasababaisha kila mtu mwenye akili tumamu akupuuze
Umemeza prooaganda.Waliteka na wakaua, Hamas wana watoto si chini ya 25 chini ya umri wa miaka miwili.
Ichi kisa kundi la Muhammad lilimuua bibi wa watu kwa kumfunga kwenye ngamia wawili uku na uku , ngamia wakaenda kila mmoja upande wake wakamchana katikati ,Huelewi kuwa sheria zote za kimataifa za mateka wa kivita kupewa haki zao, sheria za kutokuuwa wanawake, watoto na wazeee vitani zilianzishwa na Uislam. Soma Uislam upate faida.
Aisee iman hatari sana thanx Jesus iam following you
Amsterdam SyndromeAisee Wayahudi wamemmaindi kichizi huyo mama.
Nimetembelea Website ya Waisrael wanalaumu kuwa kwa nini Serikali haikumanage situation kabla huyo mama hajaongea na vyombo vya habari.
mtando huu hapa: Why did Israel allow a public diplomacy disaster?
Hata Sky news wamenukuu maneno ya huyo mama , wamendika hivi
View attachment 2791685
Ndio uislam.Ni jambo jema kumtendea wema mtu hata kama ni mateka.
Sometimes HAMAS wanawapa Wayahudi kile wanachokielewa kwa mujibu wa Maandiko yao wao wenyewe,hiyo inafutaj mauaji yao waliyoyafanya ? unahisi wmagemtesaj kwa kipigo hiki , hao mateka ndo walikuwa hauweni yao lzm wawakirimu , wangekuwa wema wasingeua watu kule disco vumbi
That doesn't deny the fact that she said she was well treatedHer husband is still being held captive, of course she won't say anything bad about Hamas!! Same for the Americans released who still have family members being held.
Kama wanayaishi haya, mashambulizi yao kwa Israel mbona yaliua bila kujali hayo😯Hivi ndivo mtume alivyosema
Na HAMAS wamefanya kwa vitendoView attachment 2791701
Hongereni sana Hamas 😢 😞 😔Wanajuta kwanini walimuoji public 🤣🤣🤣. Sisi Hamas tunaendelea kupiga kimya. Mtajuana huko wenyewe
Ndyo hiyo ni AI generated ikikupa picha jinsi Gani Mtume alipomuoa mtoto wa miaka 6.Hio picha ya huyo mzee na huyo mke wake, mbona chini imeandikwa photo is AI generated? unaelewa maana yake?
Mungu hana dini.Ma Shaa Allah, najivunia sana Uislam wangu. Wewe unajivunia nini, upagani?
Uislam mwema sana, karibu.