Uislam mwema sana.Mwanamke mzee Muisrael aliyeachiliwa huru na wapiganaji wa Harakati ya Muqawama wa Kiislamu ya Palestina HAMAS amesema alikirimiwa na kutendewa wema katika muda wa wiki mbili alipokuwa ameshikiliwa mateka na kundi hilo la wanamapambano wa Palestina.
Akizungumza na waandishi wa habari mapema leo, Yocheved Lifshitz, ajuza wa miaka 85, amesema Hamas ilimpatia daktari wa kushughulikia afya yake na kufanya kila njia kuhakikisha anapata dawa zake.
Ameongeza kuwa wapiganaji wa Hamas walishughulikia pia mahitaji yake. Bi Lifshitz amesema: "tulikula mkate, jibini nyeupe na matango, kama wao."
Bi Kizee huyo Muisrael ameendelea kusimulia alivyokirimiwa na wanamuqawama wa Palestina akisema: "walituambia wanaiamini Qur'ani na kwa hivyo hawatatudhuru".
Alipoulizwa kwa nini alipeana mkono na mmoja wa wanachama wa Hamas wakati wa kuachiliwa kwake, Bi Lifshitz alisema kwa sababu "walliamiliana nasi kwa wema na walishughulikia mahitaji yetu yote."
Jumatatu usiku, tawi la kijeshi la Hamas la Brigedi za Al Qassam lilitangaza kuwa limewaachilia huru mateka wawili wa Israel - Yocheved Lifshitz na Nurit Cooper mwenye umri wa 79 - kwa "sababu za ubinadamu."
Kwa hiyo mtume ni Mungu??Unajiaribia na utasababaisha kila mtu mwenye akili tumamu akupuuze
Hata kama ni chuki wapi umeona muislamu kamtukamna mungu wa dini nyingine kiasi hicho
Raia zaidi ya 1500 walijiua wenyewe sio?!Toa ushaidi mateka alibakwa au kuuliwa na Hamas. Mmetumia nguvu nyingi sana kukaririsha watu kuwa Hamas ni watu wa ovyo kwa stori nyingi zisizokuwa na ushaidi. Sasa angalia m/mungu jinsi anavyotisha. Mnawasafisha Hamasi wenyewe bila shuruti
Huu wa kuteka, kuua na kubaka wanawake kwa kisingizio cha kupigania ardhi huku wakitaja jina la allahUislam mwema sana.
Kuna baadhi ya waislamu kamahuyo mtoa mada ni zero brain kabisaHawa wakulungwa c ndio waliuwa watu 1500 kwenye tamasha? Inakuaje leo kwa kuwaachia mateka 2 mnawasifia kuwa ni watu wema😆!
Wacha we, kumbe kukamata mateka inaruhusiwa. Nikajua ni kitendo cha kigaidi wakati ni utaratibu wa watu fulani.Inaruhusiwa kuteka kwa nia na madhumuni mazuri
Israeli yeye hawachi wazee, watoto, hata wale watoto wenye downsyndrome anawafunga na anawatesa.Kumteka kikongwe kama huyo tu ni ugaidi na ndio tushuhudie wale wanaosema vikundi kama Hamas ni vikundi vya kigaidi sio waongo.
Na huyo kikongwe kwenye mahojiano alisema wakati wa kutekwa alipewa kipigo pamoja na kuporwa mkufu wake na watekaji taarifa ambayo mleta mada kwa sababu za kiimani hajaongelea kabisa.
Kama wewe kweli ni muungwana na mwenye kumuogopa Mungu kiukweli bila unafiki huwezi kabisa kufanya vitendo vya kigaidi kama kuteka watu sanasana unatakiwa kutafuta ufumbuzi wa changamoto zako kwa maombi zaidi.
Kuna Waisrael wa Kimara, Yombo, Makete, hawataki kabisa hizi habari.Mwanamke mzee Muisrael aliyeachiliwa huru na wapiganaji wa Harakati ya Muqawama wa Kiislamu ya Palestina HAMAS amesema alikirimiwa na kutendewa wema katika muda wa wiki mbili alipokuwa ameshikiliwa mateka na kundi hilo la wanamapambano wa Palestina.
Akizungumza na waandishi wa habari mapema leo, Yocheved Lifshitz, ajuza wa miaka 85, amesema Hamas ilimpatia daktari wa kushughulikia afya yake na kufanya kila njia kuhakikisha anapata dawa zake.
Ameongeza kuwa wapiganaji wa Hamas walishughulikia pia mahitaji yake. Bi Lifshitz amesema: "tulikula mkate, jibini nyeupe na matango, kama wao."
Bi Kizee huyo Muisrael ameendelea kusimulia alivyokirimiwa na wanamuqawama wa Palestina akisema: "walituambia wanaiamini Qur'ani na kwa hivyo hawatatudhuru".
Alipoulizwa kwa nini alipeana mkono na mmoja wa wanachama wa Hamas wakati wa kuachiliwa kwake, Bi Lifshitz alisema kwa sababu "walliamiliana nasi kwa wema na walishughulikia mahitaji yetu yote."
Jumatatu usiku, tawi la kijeshi la Hamas la Brigedi za Al Qassam lilitangaza kuwa limewaachilia huru mateka wawili wa Israel - Yocheved Lifshitz na Nurit Cooper mwenye umri wa 79 - kwa "sababu za ubinadamu."
Kasome vizuri comment niliyo equateKwa hiyo mtume ni Mungu??
Katika vita unaweza kutumia huduma kwa mateka kama silaha ya ama kutafuta uungwaji mkono,kuonekana wewe una utu na unajali binadamu ,au kinga dhidi yamashambulizi ya adui. Usidhani hao Hamasi ni wajinga, wanajua wanachokifanya, na ndiyo maana hata humu mmeanza kuwaona kama wana utuw, ni wauji tu. Hata hao mateka wakifa ,watu wa Israel wakawa salama miaka 400 ijayo ni sawa tu ,.wameachiwa.je hawatakufa, jibu ni watakufa.Aisee Wayahudi wamemmaindi kichizi huyo mama.
Nimetembelea Website ya Waisrael wanalaumu kuwa kwa nini Serikali haikumanage situation kabla huyo mama hajaongea na vyombo vya habari.
mtando huu hapa: Why did Israel allow a public diplomacy disaster?
Hata Sky news wamenukuu maneno ya huyo mama , wamendika hivi
View attachment 2791685
Nani kakuambia kukamate mateka vitani ni ugaidi? Mateka wanakamata kwa madhumuni mengi sana. Na la kupiga mabomu kwenye makazi ya watu kwa madhumini ya kuuwa watoto, wanawake na vikongwe mbuna haulizungumzii?Wacha we, kumbe kukamata mateka inaruhusiwa. Nikajua ni kitendo cha kigaidi wakati ni utaratibu wa watu fulani.
Vipi suala la kuvamia music festival nalo limeruhusiwa, na la kufyatua maroketi
Hizo porojo na chuki zako tu.Huu wa kuteka, kuua na kubaka wanawake kwa kisingizio cha kupigania ardhi huku wakitaja jina la allah
Waisrael wengi waliuawa na jeshi lao wenyewe walipoanza kurushiana risasi na HAMAS. HAMAS ilienda kuchukua watu wa kuwasaidia kwenye intelijensia yao na ambao watasaidia kushinikiza Israel nayo iachie raia wengi wa Palestina iliyowateka huko nyuma wakiwemo watoto, lakini kwa bahati mbaya IDF ilipofika haikujali maisha ya raia wao. Ikaanza kurusha risasi zilizoua waisrael wenzao wengi.Kama Hamas ni watu wema, mbona wameua maelfu ya watu baada ya kuivamia na kuishambulia Israel kwa mabomu pamoja na risasi...!!
Sawa amesema ukweli na kwa sababu wazungu hawapindishi maneno wameripoti hivyo hivyo; ila ukweli unababaki pale pale kuwa HAMAS wanatimiza Agenda ya Uislam ambayo Iko kwenye charter yao ya 1988 inayonukuliwa Toka Sahih Muslim Hadith 2922 kuwa ule mwisho haitokei mpaka Waislam wameua kila Myahudi. Na pia charter hiyo hiyo inasema Uislam utatawala Dunia.Aisee Wayahudi wamemmaindi kichizi huyo mama.