Mateja wafika polisi kuomba wapewe dawa za kulevya 'zimeadimika'

Wakudadavuwa

JF-Expert Member
Feb 17, 2016
16,248
2,000
Katika hali isiyokuwa ya kawaida, baadhi ya waathirika wa dawa za kulevya maarufu kwa jina la ‘mateja’ wamefika makao makuu ya polisi mkoa wa Mbeya kuomba wapewe dawa hizo kidogo kwani zimeadimika mtaani. Waathirika hao wamedai kuwa tangu kuanza kwa kampeni ya vita dhidi ya dawa za kulevya jijini Dar es Salaam, cheche zake zimepelekea dawa hizo kuadimika mitaani na kwamba waathirika wako katika hali mbaya kwa kukosa dawa hizo, hivyo walichukua uamuzi wa kwenda polisi kuomba wapewe japo kidogo kuwanusuru na 'arosto'.
1c09e58d-b607-4f26-a92b-0ecb8c0d87db.jpg
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom