MAHANJU
JF-Expert Member
- Aug 26, 2014
- 5,244
- 7,970
Najua mnapowakamata watu wa aina hii lengo ni kupewa connection ya chain nzima from user to supplier, Lakini ni kwanini hua hamuwataji suuplier? Unafikiri hao mateja hua wakibanwa na polisi hawasemagi mi wapi wanatoa dawa?Wanawataja sana tuseme kwamba sinema hazifikiagi mwisho.
Tunakimbilia mateja aina ya kina Chid na TID kwa sababu walikua maarufu tu, hapa ndipo inapotia shaka kwamba tunataka attention za media na hakuna lingine zaidi, Kama sio attention ya media kwanini wasanii maarufu tu ilihali watu wa aina hiyo wapo wamejaa mtaani, nenda pale Muhimbili wamejaa koridoni,nenda pale Mwananyamala wamejaa tele.
Hata siku moja kuparuana na watumiaji wa dawa badala ya kuhangaika na wasambazaji na waingizaji ni kazi bure, hizo jitihada hazijaanza leo na hazijaawahi kuzaa matunda yeyote.