hahaa mkuu unaogopa eeh ?arv mbona zipo za kutosha! ila kukutoa hofu ni kwamba vvu havina maisha kwenye mate labda kama anatatizo la kutokwa damu kwenye fidhi hivyo ile damu ikavijengea uzio dhidi ya mate hafu vikaingia kwenye jeraha lako. ila kwa maelezo yako hauko keenye hatari