MKWEPA KODI
JF-Expert Member
- Nov 28, 2015
- 28,700
- 71,114
Huifahamu Zanzibar wewe ngoja nikuacheCuf Maalim watahamasishana kuwafua cuf Lipumba huku ccm wamekaa na popcorn wanacheki cinema.
Kwa ufupi huu mvutano ni kati ya cuf na cuf.
Huifahamu Zanzibar wewe ngoja nikuacheCuf Maalim watahamasishana kuwafua cuf Lipumba huku ccm wamekaa na popcorn wanacheki cinema.
Kwa ufupi huu mvutano ni kati ya cuf na cuf.
CUF imara daima. Tatizo la political prostitutes waliojiuza kwa ccm is dead and buried. Ikulu lazima. HAKI!Cuf Maalim watahamasishana kuwafua cuf Lipumba huku ccm wamekaa na popcorn wanacheki cinema.
Kwa ufupi huu mvutano ni kati ya cuf na cuf.
Bendera zimeondoshwa na wana CCM, sababu kulikua na ziara ya Doct. Shein wanataka kumdanganya kuwa Uzi saivi hakuna CUFKinachoendelea cuf ni furaha kwa ccm.
That is what i meant.
Kwa kweli ni Imara sana. Kama mlivyotaka kuwameza ili mjitanue Zanzibar wakawashtukia mpango wenu.Cuf ni taasisi Imara
Cuf Maalim watahamasishana kuwafua cuf Lipumba huku ccm wamekaa na popcorn wanacheki cinema.
Kwa ufupi huu mvutano ni kati ya cuf na cuf.