Matatu (Daladala) Za Zanzibar 2018

Msapere

JF-Expert Member
Joined
Jul 18, 2018
Posts
3,165
Reaction score
1,543
Watu wanabebwa kama mizigo wakitumia canter na Pick up
Mizigo juu watu chini


so sad

 
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸƒβ€β™‚οΈπŸƒβ€β™‚οΈπŸƒβ€β™‚οΈ
 
Mbona kwenye hii picha yako ya mwisho kuna matatu ya kweli hapo nyuma? Hahaha! [emoji1] Ndio utamaduni wa waswahili huo. Lamu ni UNESCO World Heritage Site, kuna mitaa kule ina nyumba za kitamaduni za waswahili na barabara nyembemba na hakuna gari ya aina yeyote ile inaweza pata nafasi ya kuingia. Zilejengwa miaka ya 1800AD. Kutamu sana kule Lamu na kisiwa cha Kiwayuu.
 
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ€£
 
Isnt Zanziba a UNESCO world heritage???πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡
 
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡
 
Isnt Zanziba a UNESCO world heritage???
Lamu ndani mitaani hakuna gari hata moja, achana na za matatu. Ndio maana panaitwa 'ancient town', yaani ni town iliyojengwa miaka 700 iliyopita, enzi hizo kabla ya magari na pamebaki hivyo hivyo hadi sasa. Kazi ni kucopy & paste tweets tu bila hata ya kuzisoma kwanza. Safi sana, endelea kututangazia vivutio vyetu vya utalii.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…