Kwa uzoefu wa niliyotumia 20km/lhv vinaendaje kwa lita
Mkuu me ipo ya 1997 hapa sijawah pata shida nayo yoyote kubwa since 2013 na inakula mzigo mnooo...Msaada :: Kwanza habari za shughuli ndugu zanguni nataka kusaidiwa izi gari zimekuwa na matatizo mengi ikiwepo ya kuungua Pump. Yaani zinaungua sana ktk Pump