The redemeer
JF-Expert Member
- Jan 28, 2025
- 4,780
- 8,155
Kwanini Ulimwengu hauwaadhibu Waarabu na Wazungu kwa Kuwafanya Waafrika Watumwa zaidi ya Waafrika Milioni 200 kwa zaidi ya miaka 1500?
Hapa kuna Watu hawaelewi maana ya Asili ni Nini na kwa namna gani Asili inafanya Kazi yake!! Umeona Asili ya Wanyama wa Porini? Simba, Chui, Duma kisha Umeona Asili ya wanyama kama Swala, Pundamilia, Nyumbu, Nyati, Kifaru n.k Utagundua kuwa hawafanani!! Simba anakula Swala lakini Swala hawezi kumla Simba. Tuliza Akili Simba hawezi kumla Simba mwenzake kwakuwa Asili haimruhusu kufanya hivyo. Wanyama wanao fanana mara nyingi huwa hawadhuriani na wakifanya hivyo huhesabika kuwa ni dhambi na Ulimwengu hutoa adhabu.
Sasa jiulize Wewe na Mzungu mnafanana? Wewe na Mchina mnafanana? Wewe na Mwarabu mnafanana? Wewe na Muhindi Mnafanana? Katika haya Makundi ya Binadamu Kuna kundi ni Simba ama Chui na kuna Kundi ni Swala ama Pundamilia.
Mzungu kumuua Mwafrika katika sheria za Ulimwengu sio Kosa kwakuwa ni viumbe katika Species tofauti kabisa hatufanani!! Hapa acha unafiki wako wa kusema kuwa Binadamu wote ni sawa hiyo weka pembeni hatuko sawa. Asili haiwezi kutoa Adhabu yoyote kwa hilo. Hata Mwafrika kumuua Mzungu hakuna kosa kwakuwa hatufanani. Ila Mzungu kumuua Mzungu mwenzake ni laana, Mwafrika kumuua Mwafrika mwenzake ni laana na Universe hutoa Adhabu kwa hilo.
Kuna Methali moja ya Kemet inasema, "Simba na Mwewe wote ni mashujaa wenye Nguvu ya Kimungu. Ambapo, Simba akila Mayai ya Mwewe hatendi dhambi hata kidogo ni sawa na Binadamu kula Mayai ya Bata ama Kuku hatendi Dhambi."
Hii ni kwa sababu wanatokana na Spicies tofauti (Kwakuwa Simba hawezi mla Mwana Simba). Maisha katika Dunia huhitaji kula Spicies wengine (Mimea ina uhai pia ndio maana Vegeterian hula mimea kwasababu ni spicies nyingine), Dhambi katika macho ya Asili ni pale unapofanya jambo ambalo linadhuru jamii yako (species/race).
Hii ndio maana katika Spicies nyingi mwiko mkubwa ni kula nyama ya JAMII YAKO yaani CANNIBALISM. Ni dhambi ya ujumla katika Asili. - Hii ndio maana Waarabu na Wazungu bado hawaja adhibiwa na Asili. Wapo special kuwafanya race zingine watumwa, lakini sio watu wa race yao.
Dhambi ni kuwafanya watu wako watumwa, kula wa jamii yako. Weka akulini kuwa Wazungu na Waafrika SIO species zinazo fanana. Kigezo cha kwamba tunaweza kuzaliana pamoja haimaanishi kuwa tunatoka kwenye species moja (Simba na Chui wanaweza kuzaliana pia).
Wazungu wanataka kutuaminisha kuwa Binadamu wote ni sawa hivyo sisi Waafrika haina haja ya kuungana na watu wa Species zako (Waafrika); wakati wao wanaungana na ku operate
kama species moja na kuvuna ya Ulimwengu kwa kujinufaisha wao kwa wao.
Wazungu walipokuwa wakichukuana watumwa wao kwa wao, walikuwa na maisha Duni sana na nguvu kidogo sana na waliadhibiwa na Ulimwengu. Mpaka walipojikita katika kuzifanya race nyingine kuwa Watumwa ndipo walipopata Nguvu kubwa na kunufaika na Ulimwengu haujawaadhibu mpaka hii leo na kuwa na Nguvu Duniani mpaka hii leo.
Wazungu walijifunza hili Kemet yaani Misri ya Kale ambapo Kemet haikuwa kubwa ilipokuwa ikiwafanya waafrika wenzao watumwa, lakini walipoanza kupambana na Asia na Ulaya ndipo Kemet ilipata Nguvu Kuu na Kuwa Taifa pekee lenye Nguvu Duniani. Ndio maana Ulimwengu uliibariki Kemet.
Halikadhakika kwa Ulaya na Marekani wanaweza Kupigana wao kwa wao lakini dhamira yao kuu na nguvu yao iponkatika kupambana na race nyingine, na ndio maana Ulimwengu unawa saport kwa kufata maelekezo ya Asili inavyotaka.
Kwa upande mwingine, Weusi tumepinga Maelekezo ya Asili mara tulipo anza kufanyana watumwa sisi kwa sisi, kuuzana sisi kwa sisi kwa Wazungu na Waarabu.
Hata hivyo kwakuwa kwa sasa hatuuzani kwa Wazungu kwakuwa biashara imekufa lakini bado asilimia 95% ya uovu wetu tunafanyiana wenyewe kwa wenyewe na sio race zingine. Ndio maana Ulimwengu unawaadhibu Waafrika; sisi tunakulana nyama kiroho bila kujua, mwiko mkuu katika Asili.
Wakati huo Wazungu na Ukoloni wao mamboleo katika nchi za kiafrika wame focus katika vita dhiidi ya race nyingine, wanavuna Baraka pamoja na Ubaya wa Wazungu unao ufikilia walivyo, wame focus uovu wao kuwafanyia race nyingine na sio wao kwa wao, ambayo ni maelekezo ya Asili.
SASA BASI
Wazungu wameamua kupandikiza vitu ambavyo vitafanya tufanyiane ubaya wenyewe kwa wenyewe bila kujitambua, na vitu hivyo dhamira kuu ni kutugawanya tujione kuwa tupo tofauti ila kiuhalisia tunatakiwa kupambana na race nyingine na sio sisi kwa sisi. Tuanzie Tanzania...
Mdude katekwa tuliona wenyewe video kuna Damu sakafuni na chini ya Ardhi - Unadhani ni Wazungu wanahusika? Au Wachina? Ni sisi wenyewe Ulimwengu utatuadhibu kwa hilo. MTEGO DEMOKRASIA.
Tundu Lissu yupo chini ya kizuizi kafunguliwa Mashitaka ya Uhaini ambayo hukumu yake ni Kunyongwa mbali na hayo ukamatwaji wake haukuwa wa kikawaida ilikuwa ni pamoja na kupigwa. Tunatesana Wenyewe na kuumizana. Ulimwengu Utatuadhibu kwa hili. MTEGO DEMOKRASIA.
Watu wameinuka kwenda kutazama kesi ya Tundu Lissu wametiwa kizuizini, wakapigwa na kuumizwa na ripoti ikatoka kuwa mtu mmoja kafa na wengine wamejeruhiwa. Walio fanya hivyo sio Wazungu ni Ndugu zetu wenyewe. MTEGO DEMOKRASIA.
Mifano iko mingi sana, Ngugu zetu Wakongo huko wana chinjana kila siku. Wanachinjana kwa ajili ya Mali zao wenyewe. Hakuna siku Congo nzima ikawa na Vita ni maeneo tu yenye rasilimali za Asili ndio vita vipo madini yamegeuka kuwa Laana. Pale hawauani Wazungu bali ni wao kwa wao tu. MTEGO MALI ASILI. Tanzania na nchi jirani zinapeleka majeshi eti kuleta amani lakini amani hiyo ipi miaka 50 mpaka leo na majeshi yakienda huko wanaenda kuua watu gani Wachina au Wazungu? MTEGO UN.
Tanzania na Uganda wenyewe wanasema The Kagera War! Walikuwa wanaenda kuua Wayahudi ama Wazungu? Hapana Walienda kuua Watu wa race yao wenyewe, Nyerere mtego mdogo wa Wayahudi akajaa vita Ikatokea Damu yetu ikamwagika kuwatetea Wahindi na Waisrael feki a.k.a Wayahudi walio pigishwa magoti na kufukuza na Idd Amini. MTEGO MIPAKA YA NCHI.
Karume aliuwawa baada ya nchi Kuunganishwa ila Wote tunatambua kuwa Muungano ni Feki. Wazanzibar ni Race nyingine kabisa wale ni Mulatoes yaani wana Damu ya Waarabu sasa wenyewe utawaona wanavyo jinasibu kuwa wao ni Tofauti na Watanganyika na wana hamu sana Muungano Ufe yaani tunaishi nao Kinafiki Ile ni Race nyingine kabisa. MTEGO MUUNGANO.
Kifo cha Magufuli bado ni Sintofahamu ila kila mtu husema Magufuli kauwawa na Maadui zake. Lakini ni Wazungu ama Wachina ndio walikuja Kumuua Magufuli? Jibu unalo mwenyewe! MTEGO DIKTETA UCHWARA lakini mtego mkuu DEMOKRASIA.
PATRICE LUMUMBA aliuwawa na Kaburi hakuna labda Jino tu. Unadhani aliyetoa amri ya kukamatwa kwake ni Mzungu ama yule CIA wa kukodi kutoka Langley Virginia Marekani? Jibu linajulikana Master mkuu wa yale mauaji alikuwa ni Mobutu ili ashike Dola lakini wahusika wakuu wa Mauaji yale ni Waafrika Wakongo wenyewe!! Patrice alijitahidi kutoroka lakini walio mkimbiza ni Wakongo Wenyewe na yule CIA alihusika katika hatua za mwisho. Yule CIA aliua mtu ambaye sio race yake, wakongo waliua mtu wa race yao aliyekuwa akiwatetea wao wenyewe kulinda rasilimali zao wenyewe lakini wakashiriki kumuua na kumwaga damu yake. Ulimwengu ukaibariki Marekani na Kuiadhibu Congo mpaka leo. MTEGO MADARAKA NA LASILIMALI ZA ASILI.
Afrika Kusini huwa tunaonaga maandamano ya mara kwa mara Wazulu wanashika siraha na mapanga kuwaua waafrika wenzao wageni wanao enda nchini mwao kutafuta fursa za maisha. Tumeshuhudia matukio mengi sana tunauana sisi kwa sisi. Juzi kati Afrika Kusini na Kagame katika Mgogoro wa Congo tumeona wakipigana mikwara ni kwanini? Tunauana wenyewe kwa wenyewe wala sio Wazungu wanao tuua. Ulimwengu unatiadhibu kwa kukiuka Maelekezo ya namna Asili inavyotaka.
Boko Haramu hawawaui Wazungu ni Weusi kwa Weusi. Al Shabab wanaua weusi wenzao, vita za Afrika tunauana Wenyewe kwa wenyewe!! Asili haitaki hivyo na Ulimwengu unatuadhibu. Mpaka tutakapo jifunza Asili ya Simba ama Chui kumla mnyama wa Race nyingine ama tutulie tuwe Swala tusubirie kuliwa ama tule majani ambayo ni race nyingine. Kubadilisha Wazungu kutoka kuwa Simba na kuwa Swala inawezekana tukiamua endapo tutaacha kuuana wenyewe kwa wenyewe, tutaacha kulana nyama wenyewe kwa wenyewe. Unauaje Race yako Mwenyewe?!
A
NDIKO HILI LIHIFADHIWE WASOME VIZAZI VIJAVYO!! TUNA MENGI YA KUAMBIANA!! PASS THE KNOWLEDGE FROM ONE GENERATION TO ANOTHER.
NAITWA HOMVYE MKUSHI WA KITAA💪🏿💪
Kama unataka Maarifa ya Kikushi kama kujitibu magonjwa mbalimbali kwa Kutumia Maji hata Kutibu Ukimwi Nunua kitabu cha MAMBO YA MKUSHI kwa Tsh 2000/-
Namba ya Malipo ni .....
0748311142