Matatizo ya uzazi kwa wanaume

Apr 30, 2016
54
28
MATATIZO YA UZAZI KWA WANAUME.

Wanaume wana matatizo mengi sana ya uzazi tofauti na inavyodhaniwa kuwa Wanawake pekee ndio wana matatizo hayo. Mtatizo nimengi kama vile kukosa hamu kabisa ya tendo la ndoa, kushindwa kurudia kabsa ibada hiyo, maumbile madogo n.k. Yote hayo tunayajumuisha pamoja na kuwa tatizo moja kitaalamu linafahamika kama "MALE INFERTILITY". Viungo yva uzazi kwa mwanaume vimegawanyika sehemu mbili kuu (1) Viungo vya nje. Hivi ni vile tunavyoweza kuviona kama uume na korodani. (2) Mirija ya mbegu za kiume na tezi dume ambacho ni kifuko cha akiba cha mbegu za uzazi, hivi ni viungo vya ndani. Ufanisi wa tendo la ndoa kwa mwanaume unategemea sana usalama wa viungo hivi, vikipata matatizo basi mwanaume tayari huwa ameingia kwenye mtihani mkubwa, ikiwa ni pamoja na kushindwa kumpa mwanamke ujauzito.

MBEGU ZA UZAZI.
Mwanaume madhubuti anatakiwa awe na wastani wa kiwango cha mbegu zenye ubora kati ya milioni mia na ishirini (120, 000, 000) mpaka milioni mia tatu na hamsini (350, 000, 000) kwa ujazo wa Mililita moja (1ml) ya manii. kiwango hicho kikishuka hadi milioni arobaini (40, 000, 000) hilo ni tatizo.
Aidha manii bora ni yale mazito yasiyo na harufu wala kupelekea muwasho kwa mwanamke.

BAADHI YA SABABU ZINAZOPELEKEA MATATIZO KATIKA MFUMO WA UZAZI WA MWANAUME NI;

Unywaji wa pombe wa kupindukia, uvutaji sigara, kujichua (punyeto), msongo wa mawazo (stress), kazi za kukaa na kusimama kwa muda mrefu, kutumia madawa ya kuongeza nguvu (yenye kemikali) na bila ya ushauri wa kitaalamu. Ulaji wa nyama nyekundu (red meat) kwa wingi, utumiaji wa mafuta yatokanayo na wanyama, mboga zilizo pulizwa dawa na kutumika kabla hazikata sumu n.k.

Uume unatakiwa usimame barabara kwa asilimia mia kama msumari lakini mtu anapojichua analegeza uume wake kwa kuwa kitendo hicho husababish akusinyaa kwa mishipa ya kiungo hicho muhimu.
Madawa ya kikemikali nayo ni tatizo hii ni kutokana na kuwa na uwezo mkubwa kuzidi mahitaji hivyo mishipa ya uume inakazika kuliko kawaida na hali hiyo ikiwa endelevu mtu huyo hawezi tena kumudu tendo la ndoa mpaka atumie dawa hizo.

SULUHISHO
Suluhu ya kwanza ya matatizo haya ni mtu kuacha tabia iliyopelekea kuyapata. hii ni kwa wale waliopata kutokana na mwenendo wa maisha hayo kama ulevi kupindukia, kujichua n.k. Kwa wenye msongo wa mawazo wajitahidi sana kutatua matatizo yao kabla ya kuwaletea shida nyingine kama hizi kwani kuwaza sana huwa hakumsaidii mtu bali huongeza mzigo kama vile magonjwa.

Tiba aidha kwa wale waliopata matatizo kutonakana na mienendo ya maisha kama ulevi, kujichua n.k au kwa maradhi kama kisukari , ngiri, kupooza na mambo mengine inapatikana cha msingi kutokata tamaa.
Madawa ni mengi na ya asili na baadhi ni vyakula tuvitumiavyo kila siku ila tatizo ni kutojua tu mchanganyiko wake. Kwa mfano mchanganyiko wa asali na mdalasini (Cinnamon) huondoa kabsa tatizo hili kwani asali imekua na historia kubwa ya kuamsha hisia na kuleta nguvu kubwa kwa mwanaume na huwa nguvu zaidi ikichanganywa na mdalasini, habbat sauda, tangawizi n.k

Hii ndo makala tuliyojaliwa kuwaandalia kwa siku ya leo kwa faida ya umma. Sambaza pia wengine wapate faida.
Wasiliana nasi: 0712770729
 
Back
Top Bottom