hayo matatizo ya st Joseph nadhani wapiganaji wakubwa ni mwaka wa pili, mwaka wa kwanza wengi wako nyuma na wengi wao ni watazamaji wachache tu ndio wanaotoa ushirikiano maana kuna baadhi ya jamaa zangu wanasoma mwaka wa kwanza hapo wengi hawako chuo na wale wanaokaa maeneo ya jirani kama moshi tayari wako nyumbani na wengine wanadiriki kusema mgomo ukiisha wataniita.Sasa sijui wanafkiri nani awapiganie haki yao cha msingi mnaoendelea kupigania haki msichoke

sawasawa maamuzi magumu kama hayo ndio yanayotakiwa maana hata mkirudi wengi watashikishwa kesi na kufukuzwa chuo
nimekusoma ndio maana nikasema NADHANI kwa sababu hiyo nliyoeleza.Ni vizuri umenipa uhakika
una akiri timamu kweli?
Ivi ubongo wako we serotherapy uko vzr kwel ww?????
Acheniii uongo etiii udsm watuu wana four hahahhah nyie mngeenda hata SUA kama mngekuwaa na marks nyingi za PCB semaa hamjachelewa muapply upya st joseph kombakomba la division three mmepaniki wakati ndo ukweli hahahhah TCU application zipo on fanyeni kuapply na three zenuizoo alafuu mkose hata hicho st joseph marks zenu ndogo bhanaa
najua matatizo kama hayo lazima uwe na hasira ila komaeni mambo yatakaa sawa
we serotherapy nataman sn uwe unasoma udsm lkn sitaman hata kidogo uwe unasomea ualimu, hua wa2 wa dizain kama zenu za kutumia mda mwng kusifia chuo hua hamfundish na co wote ila wa dizain ka yako, nataman uwe unasomea PSPA ili baada ya kumalza mwaka wa 3 tukutane tena huku jf, FUNZO: USIMUONGELEE VIBAYA MTU MWENYE TATZO UNAPASWA KUMFARIJI, shame'on u
kuna mwanangu ana two ya kumi . 2013 na yupo hapo acheni kuwapga majungu, nipo udsm apa tunasoma na watu wakawaida sana
we unao sema mwaka wa pili ndo wana husika una uhakika gan kwanza mwaka wanpili wote wako likizo tuko sisi first year tu
Duh chuo gan hcho likizo zinapishana????????
Afu kumbe na we hufkirii likzo kutofautian cyo mbn unazungumza kit ambacho hakipo??? hujui mzumbe wanafnyj tena wale ni semestr ad semestr
Afu kumbe na we hufkirii likzo kutofautian cyo mbn unazungumza kit ambacho hakipo??? hujui mzumbe wanafnyj tena wale ni semestr ad semestr