Matatizo ya mtandao crdb bank

Gwataimbwa

JF-Expert Member
Joined
Sep 15, 2014
Posts
347
Reaction score
133
Waungwana ama kweli asiye na bahati habahatiki.Ilikuwa Siku ya Jumatano tr 10/7/2019.Ambapo katika pitapita zangu nilikutana na jamaa mmoja aliyekuwa anauza vitaru vyake vya miche ya matunda .Ndipo tulipokubaliana nimpelekee pesa sh milioni 4, kesho yake ilinimbandue hapo ofsini kwake ili naye aende huko Panda kutafuta maisha .Sasa nilipoenda crd bank kutoa pesa ndipo nilikumbana na hilo ya kuwa hakuna mtandao wa kutoa pesa ,jumamosi nikaenda tena majibu yakawa yale yale ,Leo tena jumatatu nilipoingia crdb bank nikakutana na watu ambao sura zao zimejaa huzuni nikajua tena majibu ni yale yale ya hakuna mtandao .Sasa waungwana huko mliko pia kuna tatizo kama hili la wateja kushindwa kupata huduma ya kutoa pesa kisa mtandao?.Mimi Niko Serengeti
 
Tangu ijumaa atm za bank fulani ya crdb nje kidogo ya mji wa dar hazifanyi kazi,

Labda kama zimeanza mchana
 
Nilijua umepoteza dili...tulia vuta subra utatoa mpunga tu
 
Naona nikitaka kudeposit pesa crdb kutoka mtandao wa airtel inasema ‘can not fetch details’, kuna taarifa yoyote network itarudi muda gani?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…