Matatizo ya mishahara kwa walimu

Matatizo ya mishahara kwa walimu

wivtos

Member
Joined
Aug 16, 2014
Posts
8
Reaction score
0
mi nashindwa kuelewa walimu kulalamikia mishahara midogo nani wa kulaumiwa? je cwt kazi yake ni nn,au kazi yao ni kula pesa za walimu! mfano,kwa musoma vijijin hata pesa za matawi cku hizi kuleta ni tatizo! nchi hii inatupereka wapi,nani atakuwa msaada kwa walimu kama hata chama chao cha walimu ndo mafisadi.Nawasilisha
 
Serikali imejaa dhuruma, vyama navyo dhuruma, viongozi nao ndo usiseme kabisaaaa!!!!
 
Hii nchi ukifanikiwa kupata panono, pashikilie na upatetee usilete longolongo ndo maisha ya bongo. Wakukutetea hayupo ni wewe mwenyewe.
 
Maono na fikra pevu zinaweza kusaidia kuwajenga walimu kutoka dhana ya mishara midogo,kikubwa ni kujitambua na kuwa na uwezo zaidi ya ualimu ili pawepo na uwezo wa mtu binafsi katika kujiendesha hii ni pamoja na kujiendeleza ,kubuni miradi ya kujipatia kipato na mengine mengi.MWISHO. walimu wanapaswa kuthaminiwa ndo roho ya uchumi bila wao watalaamu watakaoandaliwa hawatakidhi matakwa ya nchi.
 
walimu mna mishahara mizuri sana endapo mwalimu utajipanga na kuwa na plan B yani.

1. baada ya lile friji kubwa uliloweka nyanya maji ya matumzi ya nyumani weka kijana anza kuuza barafu ili faida iwe pesa ya mboga hme na salary ya kijana wa kazi

2. kama upo kijijin anzisha basi hata mradi wa kununua vifaranga vya kuku wa kienyeji na kukaa nao hata miezi miwili unawatunza kisasa and then badae unawauza

marupu rupu ya mwalimu ni muda wake so open your eyes ukizubaa utajikuta ofisini unalalamika peke yako.
 
hivi vyama kama CWT ni michongo ya watu tu.. hamna tija hata kidogo kwa members. yani ni njia ya kula hela wakubwa. thats all
 
Wapendwa wanasheria wa nchi hii, hivi sheria ya kuanzishwa vyama vya wafanyakazi ni kweli inamlazimisha mfanyakazi wa kada hiyo kuingizwa uanachama kwa lazima? Na kama ndivyo, hakuna njia ya huyu aliyelazimishwa uanachama kuukataa kama hauna maslahi? Wasaidieni walimu wenu basi namna yakutoka cwt kama sehemu ya kuwarejeshea shukrani ya kukufundisha a,e,i,o,u! Kwani hakiwasaidii sana sana wanakula 2% za mishahara yao tu.
 
Acha wapigwe!! wanatuangushaga sana nyakati za uchaguzi hawa kwa kuviza mabadiliko
 
walimu mna mishahara mizuri sana endapo mwalimu utajipanga na kuwa na plan B yani.

1. baada ya lile friji kubwa uliloweka nyanya maji ya matumzi ya nyumani weka kijana anza kuuza barafu ili faida iwe pesa ya mboga hme na salary ya kijana wa kazi

2. kama upo kijijin anzisha basi hata mradi wa kununua vifaranga vya kuku wa kienyeji na kukaa nao hata miezi miwili unawatunza kisasa and then badae unawauza

marupu rupu ya mwalimu ni muda wake so open your eyes ukizubaa utajikuta ofisini unalalamika peke yako.

Mwalimu anaingia kazini saa 1:30 asubuhi anatoka saa 11:00++ huo mradi atafanyia kwenye mkoba wa vitabu?
 
Tanzania haina nia ya dhati kuikwamua nchi dhidi ya adui ujinga.Walimu wataendelea kupuuzwa,na wanaoathirika ni watoto wamaskini ambao wanasomesha watoto kwenye shule ambazo zinafundishwa na walimu waliopuuzwa.Watoto wa vigogo wanasoma kwenye shule nzuri waliowengi wanasomesha nje.Hivyo walimu wataendelea kupuuzwa tu hadi watakapoamua kufanya maamuzi magumu
 
Back
Top Bottom