Matatizo ya mifupa ya miguu kuisha nguvu | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Matatizo ya mifupa ya miguu kuisha nguvu

Discussion in 'JF Doctor' started by jamii01, Aug 15, 2011.

 1. jamii01

  jamii01 JF-Expert Member

  #1
  Aug 15, 2011
  Joined: Oct 1, 2010
  Messages: 1,836
  Likes Received: 371
  Trophy Points: 180
  Naomba mnisaide kitu kimoja kwa sasa ni shida ya mifupa ya miguu kuisha nguvu na kuchoka hata kutembea kidogo na hata nikijaribu kuiminya miguu inauma sasa toka kwenye magoti kwenda chini ..Wataalam naomba mnisaide shida ni nini na matibabu yake ni nini hasa..
   
Loading...