utunzaji wako nidyo muhimu, mimi natumia hp and kama nikiwa home huwa situmii na betry, but use it directly!! hii imesaidia saana ku expand battery life yangu!! until today my lap still inakaa 3hours for charge!!!
apple ni nzuri sana..tatizo matumizi yake..kwa katumizi ya kibongo bongo windows applications and software zinatumika sana ambazo huwezi kuzitumia kwenye apple unless otherwise kama uitumia kwa matumizi maalum (yanayohitaji softwares za mac na unazo) ni pc nzuri sana!!Jamani vp kuhusu Apple?
Matatizo yake ni Bei kubwa, na hata repair yakeJamani vp kuhusu Apple?
niko na acer yaani imegoma kuload
Vipi kuhusu SAMSUNG na ACER wakuu?