Matatizo mengine wanawake wanajitakiaga wenyewe

karv

JF-Expert Member
Joined
Dec 26, 2019
Posts
1,801
Reaction score
3,272
Hebu soma huyu anavyotaka kugonganisha magari. Kwa hali hii mauaji ya wivu wa mapenzi hayatoisha

[emoji1484]

Mwaka juzi alianzisha mahusiano na kijana flan hapo hapo nikapata mwanaume mwingine ila ni mume wa mtu sasa mwaka jana nikapata ujauzito wa yule mwanaume wa mtu akawa ananiudumia fresh tu na yule mwanaume mwingine akawa ananiudumia ila sio san baada ya kujifungua yule baba wa mtoto anataka kunioa mke wa pili na yule kijana mwingine anataka kunioa ila mtoto amtaki kwa kweli nashindwa kufanya maamuzi sababu wote nawapenda
 
Ulewa na wote.. mbona kuna jamii fulani wanaoa wake zaidi ya mmoja.. jitose tu uwe wewe ndio wa kwanza utengenezewe sanam
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…