Matatizo app ya NMB Mkononi

Nilivyosoma hiyo title nikajua umegundua security flaws kwenye hiyo kitu.
 
Nilivyosoma hiyo title nikajua umegundua security flaws kwenye hiyo kitu.
πŸ˜›πŸ˜›πŸ˜›
Hapo ningefanya uungwana kuwaambia nmb kimyakimya
 
NMB Tanzania
Kunani NMB? Hii app imegoma kufanya kazi inaniambia 'use original simcard', simu yangu ina line moja na ndio hiyohiyo niliyosajilia NMB mkononi (NMB mobile), tatizo nini?

Update:
Njia hii iliyopendekezwa na mwana jf imekubali
Hahahaaa! Naona watumushi hizi maada zinakuja sana mwisho Wa mwezi.. Inaonekana hamjapewa..


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hii App NMB wamefeli sana. Yaan ni application lakini inakulazimisha utumie laini hiyo hiyo tu..Wi-fi haikubali wala laini nyingine kwenye internet maana yake ukiwa nje ya nchi huwezi kuitumia japo ni App na hata ukiwa eneo lisilo na network ya hiyo laini uliyoisajili huwezi kupata access ya account yako...ukiwauliza wanasema eti security reason..mbona CRDB APP yao ina run kokote ata Wifi fresh tu na hakuna shida..inamaana crdb sio secured...NMB App na mfumo wa kawaida wa USSD (*150*66#) hazina tofauti kabisa.
NMB vilaza jifunzeni kwa wenzenu CRDB
NMB Tanzania
Kunani NMB? Hii app imegoma kufanya kazi inaniambia 'use original simcard', simu yangu ina line moja na ndio hiyohiyo niliyosajilia NMB mkononi (NMB mobile), tatizo nini?

Update:
Njia hii iliyopendekezwa na mwana jf imekubali

Sent using Jamii Forums mobile app
 
yaani ni app nzuri ila kwenye kulazimisha kutumia hiyo line ulioregister for security reason wamefail sana,tumepiga kelele kwenye review's mpaka tumechoka

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Halaf hawa wajinga ni wezi balaa tupu
1. Tuma hela mpesa uone makato yake. Hakika utajuta
2.anagalia salio. Hakika utapasuka
3. Omba salary advance halafu toa nusu uone maluweluwe. Hakika utatamani kuhama ila ndio hivyo huwezi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wamefeli sana kwenye hilo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…