realoctopus
JF-Expert Member
- May 11, 2014
- 3,232
- 1,982
Leo asubuhui nikiwa najipitia zangu hapa mjini Moshi nimeshuhudia jambo la ajabu sana,yaani kuna watu wazima na familia zao kabsaa,eti wanafanya kazi ya kutapeli kwa aina hiyo.
Kwa jinsi walivo ji target,ni kama wahanga wao wakuu ni wanafunzi,wadada wanaotumwa kufanya shopping za nyumbani na dukani.
Hawathubutu kuwadondoshea watu wanaooneka kama wajanja au maaskari.
Sijui wanatumia dawa za kalumanzira kuwaibia watu au ni akili kubwa,nimewashindwa aisee.
Wandugu nisaidieni ushauri.