Matapeli wengine wa ajira hawa hapa

Matapeli wengine wa ajira hawa hapa

ankol

JF-Expert Member
Joined
Aug 21, 2012
Posts
2,628
Reaction score
4,970
Ndugu,
Kuwa makini na watu hawa wanjifanya ni ma supervisor Uchumi Quick mmoja anajiita Anna 0714070332 .na mwingine Alex 0659603292.
Kuwa makini na hizo namba.
 
Ni majaribu makubwa poti, mtu umekaa miaka kadhaa mtaani bilatumaini, ni rahisi sana mtu kukutapeli kwani anacheza na akili yako ambayo inakuwa inafikiria zaidi ajira kuliko chochote. Ni kama waganga na wachungaji wanavyocheza na akili za wenye shida.... Tuzidi kuelimishana kama hivi.
 
Kigezo gani umetumia kujua kama wezi hao?

Sent from my BlackBerry 9900 using JamiiForums
 
ongelea habari za waganga tu, wachungaji waache kama walivyo usiwaguse kwakua wengine ni watumishi wa Mungu kweli, wachache ndio wamashaka ,
 
Hao jamaa kweli wezi, me waliniambia niwape kilo 250, eti wanipe kazi ya manager,
 
oyaaaa niaje mkuu mbona una post tu namba yangu!!! mi nimekutapeli nini ....??????????
 
Kigezo gani umetumia kujua kama wezi hao?

Sent from my BlackBerry 9900 using JamiiForums
Wametengeneza tangazo la nafasi za kazi ya uhasibu na umeneja halafu jinsi ya ku apply wameweka namba ya simu ili uwapigie, ukiwapigia watakutaka kiasi fulani cha fedha. Unaweza ukawatrack ili ujue wanaibajeibaje.
 
tapeli mwingine huyu hapa anajiitan mr said Shekiogwe 0653513509 na huyu mr raymond 0713765442 wanataka uwatumie pesa kwa tigo pesa hatar sana
 
Ila trust me, kuna watu wanaibiwa kwa mtindo huu huu.. Wengi tu.
 
Hata huyu 0655518547, na 0785169699 anasema ni polisi makao makuu, ukimpigia ukasema unataka akusaidie kupata ajira, iwe takukuru, uhamiaji au magereza au zima moto, anapiga hela hateree
 
Ndugu,
Kuwa makini na watu hawa wanjifanya ni ma supervisor Uchumi Quick mmoja anajiita Anna 0714070332 .na mwingine Alex 0659603292.
Kuwa makini na hizo namba.

Utapeli wao nn?
 
Bila kumusahau tapeli mmoja anaitwa Mwesiga,alitupigisha interview online ya mwanza community bank!! Kumbe kekundu!!
 
Back
Top Bottom