Matapeli wajitokeza wanajifanya wao ni loan board! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Matapeli wajitokeza wanajifanya wao ni loan board!

Discussion in 'Jukwaa la Elimu (Education Forum)' started by Hansy wa East, Jul 18, 2012.

 1. Hansy wa East

  Hansy wa East JF-Expert Member

  #1
  Jul 18, 2012
  Joined: Jul 8, 2012
  Messages: 446
  Likes Received: 190
  Trophy Points: 60
  kuwa makini kama umefanya udahili maana kuna wa2 wanajifanya wao ni wafanyakazi wa Heslb hvyo wameiba contact za wa2 walioomba mkopo na kuanza kuwaambia ati hawaja2ma cheti cha kuzaliwa na ili wakusaidie unapaswa kuwa2mia alfu 21 kwa mpesa au tigo pesa au vocha so take care mdau!
   
Loading...