utantambua
JF-Expert Member
- Aug 1, 2011
- 1,367
- 321
kweli binadamu tunatofautiana, yaani hivi hivi namuhanga mwanaume gari?
nampa pesa ya matumizi?
uwiiiiiiiiiiii labda nampangia nyuma? ahahahahahahahahah
mambo ya kujifanya nimependa sana sitaki mie........ na nilivyo mbahili hao vijana hawatonipata ng'oooo loh.......
sipo unavodhani mkuu na ningekuwa hvo nisingekuwa hapa nilipo nisingekuwa naamka saa kumi usiku.am living my life on my own
ahahaaa shosti umewaitaje tena? wanatufanya board ya mikopo bwana?Wala hujakosea mamito japo hata kwa wadada wapo wanowatapeli sana wanaume na kuwaachia vilio,
Ni aibu kwa mwanamke km mm kulea puplis labda wasichana ndio wanafanya huo upuuzi,
Namshukuru mungu hakunipa mapnz hayo ya kuohonga mwanaume,especial hivi vivulana vitumiaji!!!
Na kamwe haitatokea maishan labda kwa atakaekuwa mme wangu,huyo hata mshahara nitampa anipangie matumizi lol!
si hvo mkuu maisha ni ushirikiano kama mmoja anakuwa tu kupe pia hajiheshimu hapo ndo inakuwa shida.Smile, sikuwa na maana kuwa hufanyi kazi au unategemea kufadhiliwa. Hoja yangu i kuwa naamini kuwa kwako wewe mwanamke kugharamiwa na mwanaume ni sawa na kinyume chake si sawa.
Haha, kwa kifupi watu wa kaskazini wanajishughulisha eh?! Saaafi..
By the way, mkuki kwa nguruwe. Sitaki kusema ni mara ngapi lakini jinsia KE ndio inaongoza kwa kuwatumia ME ili kutimiza matakwa yao. Iwe chuoni, makazini au mtaani! Wote tuna matatizo (ME + KE)
Hao kwangu ni pupils tu kwan still wanataka kuwekwa under supervision ya mwanamke!ahahaaa shosti umewaitaje tena? wanatufanya board ya mikopo bwana?
kweli mkuu real for lifeMatching is very important these days!! Ukitaka kuyaona maisha hayana maana pata mtu msiyeendana! you can force everything, mwisho wa siku utakubali ukweli. Be careful bandugu, siyo kwa wanaume hata kwa wanawake. Tatizo watu wanakuwa wanashindwa kuelewa short term relationship na long term relationship, utakuta watu wametamaniana tu!! wakija kukaa muda wanaona oops this is not what I want. Lazima tukubali kubadilika, if you want a long term relationship, take more time to explore your self and your partner na kubali mapungufu yake, nayeye akubali yako then fanyeni kweli.
na sisi wadada kwanini tunalazimisha mapenzi jamani? kwani ni lazima?Hao kwangu ni pupils tu kwan still wanataka kuwekwa under supervision ya mwanamke!
Unafikiri huko kulelewa wanakotaka si ni sawa na mwanafunzi wa shule ya msingi kwa wazazi wake tu!