Mtoto Wabibi
JF-Expert Member
- Apr 29, 2016
- 451
- 294
Habari wana JF
siku zote naiona JF kama mkombozi wa kwanza kwani kuna kila aina ya hoja na taarifa na ndio mtandao wa kijamii unaoweza kukosoa na kusifia serikali pale inapobidi.leo nitaelezea utapeli wa kisiasa ndani ya siasa za tanzania.
Nyanja ya siasa Tanzania ni kama nyanja zingine ambazo zimejaa matapeli.Siasa ndiyo nyanja ambayo imeonesha kuwa na matapeli waliokomaa na wanaoendelea kula mali za watanzania kwa ulaghai.
utapeli wa kisiasa: ni pale ambapo mtu anatumia siasa kujipatia kipato chake au maslahi yake kwa njia zisizo sahihi kisiasa.matapeli daima wana tabia zifuatazo; anatumia kitu kidogo ili akulaghai, wana maneno mengi kuliko vitendo, wana vitisho, wanadanganya sana ili wakutapeli,sio watekelezaji wa ahadi na matamko yao wenyewe na wapo zaidi kimaslahi binafs. (hongera JPM hauna hizo sifa hizo japo utawala wako umejaa VITISHO.....oooohh its a joke).utapeli wa kisiasa umegawanyika katika makundi mawili;
1; utapeli wa wanasiasa( politician); huu ni utapeli unaofanywa mchana kweupe pee na mwanasiasa bila kujali yupo selikalini au lah. kwa kuzingatia tabia za utapeli(hapo juu) yani kwenda kinyume na ahadi pamoja wajibu pia ni utapeli mbele ya wananchi kisiasa. hapa tuna baadhi ya wabunge, madiwani, wenyeviti wa chama,makatibu na wengineo matapeli na mtu yeyote aliyejiingiza katika siasa na mwenye tabia hizi.
mfano: kuna jimbo moja mbunge wake amekalia kiti tangu 1995 hadi leo(20+years) lakini jimboni kwake kuna njaa, maji wanakunywa pamoja na mifugo,miundombinu ni mibovu, afya ni shida,elimu ndio kwanza amesahau, migogoro ya ardhi yani hata ofisi haipo jimboni kwake.huyu nikimuita tapeli wa kisiasa nadhani ntitakuwa sijakosea.poleni jimbo la isimani.
nini cha kufanya?
vyama vya siasa: vyama vya siasa fanyeni analyisis ya watu wenu hasa wabunge,viongozi wenu wa kichama pamoja na madiwani na mchukue hatua kwa MITAPELI hii inaowahadaa wanachi kila mwaka.nadhani ndio sababu ya baadhi ya majimbo kuporwa mwaka2015.mjitathimini kama vyama mnatupatia matapeli watuongoze au lah.
wananchi: inatakiwa kuanza kuwaassess sasa hawa wanasiasa wetu yani nani tapeli na nan sio kwani 2020 siyo mbali.inahitaji muda sana na umakini mkubwa kutofautisha kati ya eksi na kuzidisha.
MWISHO:kwa leo niishie hapo. jiandae kwa aina ya pili ya matapeli wa kisiasa.
1:mimi naanza na jimbo la isimani ni jipu kubwa sana. mh. Lukuvi upo wapi?
Haya na wewe taja matapeli unaowajua kwanza ili tuwatambue hapa.
2......
3...........
By
mtoto wa bibi