Matapeli ndani ya Facebook.

Matapeli ndani ya Facebook.

mende 2014

JF-Expert Member
Joined
Apr 13, 2014
Posts
763
Reaction score
131
Kuna matapeli ndani ya Facebook ambao wamekuwa na mtindo huo kwa mda mrefu. Hivyo, kama unatumia Facebook chukua tahadhari sana. Wanatumia njia hii hapa chini maana huyu ni mmoja wao amenitumia inbox.



Hello Dear,
my name is Fortune,
I am, very happy to contact you, to day
and i wish to be in good relationship, with you,
and i will be very happy if you can reply me
through my private Email: (fortunegood320 yahoo.co.uk),so that i can give you my picture and also know more about you.please i will like you to contact me direct to my email (fortunegood320 yahoo.co.uk) for easy communication, because i am not often here in this site.
yours new friend.
Fortune Colman,
 
Last edited by a moderator:
Tushawaweka sana hapa jamvini na kuwalaani wanajidai wanatokea Senegal
 
Huna haja ya kupoteza muda wako kuwajadili hao matepeli
Hawana jipya
 
me washanitumia sana messages za dizain hiyo ila hua nabaki kimya ...siwajibu chochote.
 
hata mimi wamenitumia nyingi tu, wakidai wametokea Sudan kusini wamekimbilia Senegal kama wakimbizi.
 
hata mimi waliwahi nitumia wengi tu , ila sijui kwa nini wanajitambulisha kwa majina ya kike tu
 
Kuna mmoja kajifanya ye injinia nikaingia line, akantumia picha akajifanya wana projects Africa inabidi mi niwe agent wao...tumewasiliana vizuri akanipa contact za director wao kwamba inabidi niwe registered. So kuwa registered inabidi nitume dola 250. Nkatoka nduki.
 
hata mimi waliwahi nitumia wengi tu , ila sijui kwa nini wanajitambulisha kwa majina ya kike tu

Wanajitambulisha kweli kwa majina ya kike lakini unakuta ni wanaume. Mimi niliwahi kumpigia mmoja baada ya kunitumia namba yake nikakuta ni mwanaume. Yaani hawa nk balaa maana wanajua we will respond quickly tukiona jina la kike.
 
Mbona kila Mara hawa matapel wapo kwa sana
Kikubwa wapotezee or block
 
hivi lengo lao hasa ni nini? mimi huwa nawajibu nawatumiaga email ya uongo..maana kwa siku napata inbox zisizopungua 2
 
Back
Top Bottom