Matapeli hawa mpaka lini? TCRA mko wapi?

Ngoja kwanza kesho nawapigia then ntaleta majibu, nyie tulieni wakuu njia ya muongo ni fupi mnooo

Nothing is easier than blaming others for your own problems
 
Mleta mada umetuwekea tangazo la biashara. Hii ni janja yako tu ya kutangaza biashara zako
 
Kama ni Ngosha lazima utapeliwe maana hakuna namna sasa tumewachoka eeh !, Halafu TCRA na masuala ya makabati na subwoofer wapi na wapi?

Usinisahau kwenye Baraza Jipya.
 
Sheria ya mauziano ya bidhaa kwa kutambua possibility ya kuwepo kwa utapeli ikaweka clause inayosema, 'Caveat emptor or Buyer beware'...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…