Hawa ni matapeli ambao wanajaribu kunitapeli muda huu kwa njia ya simu na hapa wananisubiria niwapelekee laki tatu.
Majina yao ni;
David - 07143938**
Huyu ni Mama - 07831945**
Mzee M. wa JKT - Huyu ni mtoaji wa risiti ambazo natakiwa kulipia laki 3 - 07426834**
Hizi ni msg zao;
Spear ni Hydrolic Pipes za farm truck tractor za HP 150, Oda ni Pc 50. No. ya mzee Michael ni 07426834** mtaje MrKuraya wa Pawaga, receipt: m/s Iringa split peas project.
P.O. Box 478 Iringa. Qty-hydrolic pipe's pc50. 300,000 grand total 15,000,000/=
Yaani wanaagiza mzigo wa Million 15 lakini hawana pesa ya risiti ya laki 3!!
Haha Hawa Wapo Sana Bora We Wamekwambia Matreta Wengne Wanawadanganya Kuwa Wanasambaza Dawa Za Kumwaglizia Za Mirad Sasa Mtu Walie Kuwa Wanafanya Nae Hayup Wanaomb W Uwe Mbadala Wake Utapata Hela Ya Ugal Kidog Kama Milion 3 Iv ,wanakupa Had Namb Unaongea Na Matapel Wanaojifanya Wazungu Ktoka Kwao Kwamb Wanaulizia Malpo Watayafanya Kwa Njia Ipi Chek Or Casha ?.Hap Kuna Tapel Mmja Anakua Amekupgia Kukwambia Sema N Cash, Badae Wanakwambia Huu Mzgo Utafikia Kwako Sasa Hebu Tma Kias Kidog Vya Vifungashio Tna Wanakwambia Kwa Kingereza Flyght Pakeg Wakat We Huko Mtaan Sijui Wanaletaj Na Ndge Then Wanakwambia Ndan Y Mda Flan Mzgo Utakuwa Umefka Hapo Sasa Kama Mzgo Ni Wa Milion 5 Wanakwambia Utamwambia Mzungu Kuwa Ni Mil9 Hyo Mil 4 Ilyo Ongezeka We Unachukua Robo Tatu Na Watakuwa Wanakutmia Sana , Kaen Mbal Nao Wap Weng Sana Hasa Mikoan

Ha ha ha ha ha umenikumbusha mwaka Jana,jamaa walinipigia simu akijifanya doctor,ulioeleza yote ndio hivyo hivyo wakaniambia inatakiwa vifungio vya huo mzigo so nipige simu kwwny mzigo kuulizia bei,bei aliyoniambia inakaribia laki tisa na elfu 30.nikampigia huyo doctor akaniambia mpatie.nikamwambia poa.nikauchuna yule mwenye mzigo akaniuliza vp vijana waanze kufunga?nikamwambia ndio natuma hela muda si mrefu...baada ya muda yule Dr akanipigia simu akijifanya anaulizia km nimetuma,nikamwambia nimepata laki sita yeye aongezee zilizobaki ili nizitume,akaanza oooh mpesa ipo mbali,nipo kwa meeting,nikamwambia nakusubiri umalize meeting utume hiyo hela...jamaa akapotea jumla....lkn ukweli Kuna post kuhusu huo utapeli niliisoma humu jf ndio ilionipa ujanja,nikasema ngoja niwatapeli wao,bahati yake alishituka.jamaa akikupigia simu utadhani anakujua vzr Sana,anatamka jina laki vzr,kazi yako nk.
Mods ndio wamezificha namba
Hao jamaa ni wapuuzi sana. Halafu staili yao ni kama inafanana. Walijaribu kuniingiza mkenge kwa staili kama hii. Nilipostuka ni pale aliyetakiwa kuniletea mzigo kudai kwenye malipo ya 400,000 "kuwatoa" wahasibu ili watoe risiti plain kapungukiwa kama 190,000 kwa sababu alikuwa likizo kwahiyo hayupo vizuri kifedha. Kwahiyo eti nitoe hizo 190,000 halafu tutakatana kwenye pesa ya mzigo!!Hawa ni matapeli ambao wanajaribu kunitapeli muda huu kwa njia ya simu na hapa wananisubiria niwapelekee laki tatu.
Majina yao ni;
David - 07143938**
Huyu ni Mama - 07831945**
Mzee M. wa JKT - Huyu ni mtoaji wa risiti ambazo natakiwa kulipia laki 3 - 07426834**
Hizi ni msg zao;
Spear ni Hydrolic Pipes za farm truck tractor za HP 150, Oda ni Pc 50. No. ya mzee Michael ni 07426834** mtaje MrKuraya wa Pawaga, receipt: m/s Iringa split peas project.
P.O. Box 478 Iringa. Qty-hydrolic pipe's pc50. 300,000 grand total 15,000,000/=
Yaani wanaagiza mzigo wa Million 15 lakini hawana pesa ya risiti ya laki 3!!
Hao jamaa ni wapuuzi sana. Halafu staili yao ni kama inafanana. Walijaribu kuniingiza mkenge kwa staili kama hii. Nilipostuka ni pale aliyetakiwa kuniletea mzigo kudai kwenye malipo ya 400,000 "kuwatoa" wahasibu ili watoe risiti plain kapungukiwa kama 190,000 kwa sababu alikuwa likizo kwahiyo hayupo vizuri kifedha. Kwahiyo eti nitoe hizo 190,000 halafu tutakatana kwenye pesa ya mzigo!!