D Danhappy Member Joined Oct 9, 2017 Posts 71 Reaction score 205 Nov 8, 2017 #1 Wakuu nani amewahi kutangaza fb kwa njia ya ku sponsor na akafanikiwa? Unalipia tangazo kwa njia ya bank....mje msaidie tulio wagen kama inasaidia
Wakuu nani amewahi kutangaza fb kwa njia ya ku sponsor na akafanikiwa? Unalipia tangazo kwa njia ya bank....mje msaidie tulio wagen kama inasaidia
S sele255 JF-Expert Member Joined Sep 25, 2016 Posts 205 Reaction score 262 Nov 8, 2017 #2 Ndio Mkuu ina manufaa, 1.unatarget audience (age/sex) 2.Matangazo yako mengine yataonekana Instagram (kama umeinganisha accounts zako) 3.High conversion rate inaongezeka kulingana na pesa unayoweka Malipo ni kupitia visa/MasterCard
Ndio Mkuu ina manufaa, 1.unatarget audience (age/sex) 2.Matangazo yako mengine yataonekana Instagram (kama umeinganisha accounts zako) 3.High conversion rate inaongezeka kulingana na pesa unayoweka Malipo ni kupitia visa/MasterCard
tunage JF-Expert Member Joined Dec 8, 2015 Posts 252 Reaction score 168 Nov 8, 2017 #3 na maranying unalipa mwisho wa mwezi