Mr mchoon kajibu vizuri sana.. Chakuongezea hapo ni kwamba kama blog yako ni kwaajili ya kutengeneza brand na kujulikana katika jamii basi ni vizuri kutumia Adsense.Hey, nina blog nimeinunulia domain.
ila kuna kampuni nyingi za matangazo ila mimi ninazozifahamu sana ni tatu tu Adsense, Adsterra na Propellerads.
Kati ya hayo matatu ipi kampuni nzuri kwa malipo na pia viewers 1000 kwa kila kampuni unapata dollar ngapi?
Naombeni msaada wenu mnaozielewa
Sent using Jamii Forums mobile app
Chukua adsense. Kama unapata organic traffic ila kama una share fb na mitandao ya kijamii jiandae kula ban ya nguvu kwasabb ya invalid traffic. Hakikisha lugha unayotumia ni ya malikia wa uingereza.
Wengine wataongezea
Mr mchoon kajibu vizuri sana.. Chakuongezea hapo ni kwamba kama blog yako ni kwaajili ya kutengeneza brand na kujulikana katika jamii basi ni vizuri kutumia Adsense.
Kwa mapato pekee tumia propellerads maana wako vizuri na wanasapoti pop under na onclick hii ikiwa njia nzuri ya kuongeza CPM.
Adsterra sikushauri sana japo ni nzuri kimtindo ila inataka nguvu kubwa mana wanataka sana traffic kutokea UK na USA
Sent using Jamii Forums mobile app
Mr mchoon kajibu vizuri sana.. Chakuongezea hapo ni kwamba kama blog yako ni kwaajili ya kutengeneza brand na kujulikana katika jamii basi ni vizuri kutumia Adsense.
Kwa mapato pekee tumia propellerads maana wako vizuri na wanasapoti pop under na onclick hii ikiwa njia nzuri ya kuongeza CPM.
Adsterra sikushauri sana japo ni nzuri kimtindo ila inataka nguvu kubwa mana wanataka sana traffic kutokea UK na USA
Sent using Jamii Forums mobile app
unavyosema organi traffic unaamaanisha nini
watu wanaotembelea kwenye blog yangu bila kuwaalika au
Sent using Jamii Forums mobile app
Kupitia search engine ya google, bing, ask na zingine. Huko ndiko kuna watembeleaji wengi sana
Watu wengi hawajui hata adsense wanataka nini ?
Tumebaki kutishiana tishiana tu ujinga.
Tangu lini mswahili akakushauri upate faida.
Watu wanachuma pesa kila siku kwa traffic za kushare.Shida ya waswahili hawataki kuambiwa ukweli na pia wanataka shortcut kwa kila kitu. Google adsense siyo ya mchezo na inahitaji mtu aliyeserious kumake money online.
Weka adsense yako halafu anza kushare kwenye mitandao ya kijamii. Utachokumbana nacho matangazo yataanza kupotea baadae unakutana na ujumbe wa invalid traffic.
Ukitaka kutengeneza pesa na adsense. Andika content zilizoshiba ambazo zitasomwa kupitia organic traffic. Content za kucopy na kupaste lazima ile kwako
Watu wanachuma pesa kila siku kwa traffic za kushare.
Kama wewe hupati, usifikiri haiwezekani.
Siku zote mwenye uwezo wa kufurahia organic traffic ni mtuniaji wa wordpress, blogger wengi wanashare tru.
Duh hii ni hatariDuh wadau mi nilikuwa napata viewers zaidi ya buku hadi buku 2 ila kuna muhindi mmoja akanipa trick ya kuweka matangazo ya kwenye app ndani ya blog na katikati ya post basi weeeee kilichotokea viewers wamekata wote kwa siku napata 30 hadi 50 π°π°π°