matangazo ya voda kwenye tv

matangazo ya voda kwenye tv

neikia

Member
Joined
Feb 20, 2014
Posts
25
Reaction score
5
Binafsi matangazo ya voda kwenye luninga yananiboa sana mengi ni ya katuni hawaonyeshi uhalisia sijui hapa walengwa hua ni watoto au wateja waige mitandao km tigo aitel na zantel yametulia sana
 
ktk matangazo,tigo wanaongoza ktk ubunifu.Tigo wanatumia specialized agents.voda wanatumia marketing dept yao full uchaga.
 
Back
Top Bottom