Matangazo ya LIVE kusherehekea ushindi wa ZAMBIA kupia Muv TV Africa Unit pamoja na MTN | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Matangazo ya LIVE kusherehekea ushindi wa ZAMBIA kupia Muv TV Africa Unit pamoja na MTN

Discussion in 'Sports' started by Kennedy, Feb 13, 2012.

 1. Kennedy

  Kennedy JF-Expert Member

  #1
  Feb 13, 2012
  Joined: Dec 28, 2011
  Messages: 10,664
  Likes Received: 2,504
  Trophy Points: 280
  Wananchi wa ZAMBIA wanasherehekea ushindi katika viwanja vya wazi,wale wenye nafasi wanaweza kutazama. Underdog ZAMBIA imeweza kumuuwa TEMBO kwa kutumia CHIPOLOPOLO au risasi. Wengi walioishangilia zambia walikuwa na imani nayo bila kujali nini kitatokea.Hureee CHIPOLOPOLO! Mweene anasema kwa kujiamini walistahiri kikombe hicho na ndiyo ukweli wenyewe.Mara timu itakapowasili watakuwa live.
   
 2. Mhadzabe

  Mhadzabe JF-Expert Member

  #2
  Feb 13, 2012
  Joined: May 20, 2009
  Messages: 1,575
  Likes Received: 606
  Trophy Points: 280
  Thanks. Namie nawatazama mda huu.
   
 3. Invarbrass

  Invarbrass JF-Expert Member

  #3
  Feb 13, 2012
  Joined: Feb 25, 2011
  Messages: 505
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  Sungura kambwaga tembo cheche...cheeechee
   
 4. peoples power

  peoples power JF-Expert Member

  #4
  Feb 13, 2012
  Joined: Nov 2, 2010
  Messages: 465
  Likes Received: 24
  Trophy Points: 35
  kweli wameweza maana hata hao wakina drogba hawakuamini matokeo.hongera sana chipolopolo
   
Loading...