I Naitwa jeInabidi uDownload application ya kustopisha hayo matangazo play store.
waandikie feedback kuhusu hilo tatz then watadil nalo ila sina uhakika kama itasaidiaI Naitwa je
mi yangu ndo shiiida yaan kuna maneno CLICK EXIT yanatoke kwa chini then simu inastaki kwa sekunde 30 hvi then ndo itafanya kazi tena..nakelwa sanaUsidowloa apps kutoka sehemu nyingine yoyote zaidi ya Play Store, app za Play store ziko verified na scanned for malware.
Pia simu haihitaji antivirus unaua battery tu na kupunguza performance kwa kurun AVG.
Hii sijawahi kuona, umeroot? unainstall apps ambazo sio za Play?mi yangu ndo shiiida yaan kuna maneno CLICK EXIT yanatoke kwa chini then simu inastaki kwa sekunde 30 hvi then ndo itafanya kazi tena..nakelwa sana
angalia pichaView attachment 413961
Huyo ni malware mkuu,unaweza mtoa kwa baadh ya software au kwa kuflash tu simu yakomi yangu ndo shiiida yaan kuna maneno CLICK EXIT yanatoke kwa chini then simu inastaki kwa sekunde 30 hvi then ndo itafanya kazi tena..nakelwa sana
angalia pichaView attachment 413961