lile la mkurya..
"reo nimekuuuja na maembe dooodooo, maembe nyonyo na yare ya chumbageni t'taaanga'' brender ya zec.....
**na lile jamaa anaita.... Kooondah! koooondah! Mi silipi 250 sababu sifiki mwisho...konda anamjibu wee mrugaruuuuga nini..
*na lile la ''kijanaaaaaa niongezeeeeee'' mzee mlevi yule
kuna lile la zamani la EATV for saturday east africa top 20 kuna kile kikatuni 'saturday mornie cartoon, seating at numero uno'. Pia kuna lile la bambo la super banco anasema 'kwangu kwako, kwangu kwako....nipatie chumba tafadhali'
hapa sijakusoma mkuu! Hebu dadavua
Tangazo la vodacom la Mgosi na Mamushi,sasa mgosi alitaka kumtongoza mamushi ndio akaanza na swagga za kumpa buku wkt mgosi anaaimbisha mamushi akapokea call kuoka voda kwamba kashinda mil10 ndio akamwambia aachane naye akampe mkewe ile buku yeye anawahi voda kuchukua mil10 ni sawa sawa na la kibela nyavu zimecheuaaaa!!
linanifurahisha lile la sasa la cloufs la musa anajifanya mkongo kumbe mbongo eti mi ni mududu mutu mwenye chumba chenye choo ya ndani mtaa mzima kaombwa passport kaanza oooh mi wa hapa hapa magomen ndo nilipozaliwa si unajua boda boda inaua vijana saana
Na lingme la majuto la comfy
Na lilie la crdb la sim bankin na airtel lile wamekata watakataje wamentumia elfuishirin wamekata