Matangazo ya biashara ya tiba za asili na Waganga yamezidi

rutabazi

JF-Expert Member
Aug 16, 2014
474
500
Wadau Habari za mchana,

Kuna matangazo mengi sana biashara yanayohusiana za mafundi wa tiba asili.

Wasiwasi wangu ni kwamba wengi wao watakuwa ni matapeli ila naona huu mweleko umepewe nguvu na Wanasiasa

Wameruhusu matangazo yamezidi mpaka ujumbe binafsi unatumiwa
  1. Utajiri
  2. Pesa za Majini
  3. Mvuto
  4. Kupandishwa Cheo
  5. Nyota katika Biashara
  6. Kuotesha Maziwa na Makalio
Je, tutavuka kweli?
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom