Matangazo ya biashara katika magari ya mwendo kasi

Come27

JF-Expert Member
Dec 1, 2012
7,503
7,107
Habari za shughuli ndugu zanguni Wana JamiiForums,

Naulizia haya magari ya mwendo kasi naona yamebandikwa matangazo ya biashara, muhusika wa makusanyo hayo ya Mapato ni nani?

Tujulishane wadau wengine atujajua hapo
 
Habari za shughuli ndugu zanguni Wana Jamii forum. Naulizia aya magari ya mwendo kasi Naona yamebandikwa matangazo ya biashara, muhusika wa makusanyo ayo ya Mapato ni nani?
Tujulishane wadau wengine atujajua apo
Umeyapanda au umeona kwenye Tv Mkuu?
 
Habari za shughuli ndugu zanguni Wana Jamii forum. Naulizia aya magari ya mwendo kasi Naona yamebandikwa matangazo ya biashara, muhusika wa makusanyo ayo ya Mapato ni nani?
Tujulishane wadau wengine atujajua apo
Mwenye mabasi yake.
 
Back
Top Bottom