Matangazo mengine, hatari tupu

Halfu mtu na digirii yake anaenda hapo kuta "msaada".
Mtoa tangazo hata kuandika hajui!
 
Kwani kujiunga na freemason ni dili nalo..?
 
huwa najiuliza nakosa jibu, kwanini waganaga wanapenda wenzao wafanikiwe kuliko wao kufanikiwa? wajinga ndio waliwao
 
Tanzania ina maajabu sana, wawezakuta hilo bango limewekwa ndani ya ikulu ya magogoni
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…