P pilau JF-Expert Member Joined Aug 16, 2012 Posts 1,595 Reaction score 450 Dec 4, 2012 #1 .... wanatangaza live kutoka Uganda ... lakini mtangazaji na mchambuzi wanaongea tu hadithi na wala hawaelezi mchezaji gani ana mpira.... hasa ukizingatia jezi za wachezaji hazina majina ......Hebu angalia live Televisheni TBC 1 & 2.
.... wanatangaza live kutoka Uganda ... lakini mtangazaji na mchambuzi wanaongea tu hadithi na wala hawaelezi mchezaji gani ana mpira.... hasa ukizingatia jezi za wachezaji hazina majina ......Hebu angalia live Televisheni TBC 1 & 2.