Matamshi fyongo

Nyani Ngabu

Platinum Member
Joined
May 15, 2006
Posts
98,495
Reaction score
145,858
Huyu mdada hajui kabisa kutamka baadhi ya maneno ya Kiingereza.

Anavyotamka "legendary" anakosea kabisa. Hata alitumiavyo pia anakosea.

Neno "career" ndiyo kabisa analiharibu. Analitamka "keria".

Hebu ona phonetic symbols za hilo neno..."kəˈriɚ".

Hiyo "e" iliyo juu chini hapo mbele ya k inatakiwa izungushwe i-sound kama 'o' fulani hivi.

Lakini yeye anang'ang'aniza tu kusema "keria".

Nyie watu wa Mkasi kama mnapitia hapa basi hakikisheni kabla ya kuyatumia maneno ya kizungu mjue jinsi yanavyotamkwa. Siyo mnayarusha rusha tu hovyo hovyo. Kamusi za Kiingereza zilizoko kwenye mtandao nyingi zinatoa muongozo wa matamshi.

You have the resources at your fingertips. Utilize them.

Halafu huyo mbongo fleva naye hajui kwamba neno "honestly" hiyo h haitamkwi.

 
Last edited by a moderator:
Nyani Ngabu, Naonaa leo umekuja na tuisheni ya kingereza!! Kibongo bongo kila kitu ni tambarare!! Hao ndio tunaowaona wajanja wetu!
 
Last edited by a moderator:
heheheheheeehh chezeiya malkia wewe wat unajua kuja matamshi ni utashi wa mtu n hw hardworkin u are in learning mi sieez mlaumu sana yawezekana a level hakusoma language so smtms knowing the matamshi ni ishu n in other hand yeye anajihis yupo sawa since kwenye alphabet si tuna tamka a kama e na e kama i so career ndo mana ansema keria hahahaa sijui ya gari. Bonjour mes amies
 
mkuu mashuleni huwa hawafundishi namna ya kutamka matamshi ya kiingereza unless uwe umesoma FM Academia au language A-level...ikiwa tu baadhi ya maneno ya kiswahili tunakosea, sembuse kiingereza..
 
zis langwiji ovu ze waits, iz vere vere, mi i like she!
 
Ninachofikiri ni kwamba anayatumia maneno hayo kama tafsiri ya kiswahili ndo maana anayatamka hivyo ingawa ni kosa.changamoto iliyopo hapo ni watu wa mikasi kuhakikisha wanatafuta maneno ya kiswahili ili yatumike ipasavyo na sio kuweka tafsiri zao binafsi.
 
hiyo legendary kaitamkaje.....?
 
kaka lugha za watu hizi,....hili gonjwa najua tunalo wengi ila hatutaki kutibiwa tunaogopa aibu
 
Chezea wakazi wa kwa malkia weye wanatoa tuition bila malipo my brother thanks
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…