Msae-Marangu
Member
- May 28, 2023
- 70
- 110
Ndugu, nimecheka kidogo! Sio kwa kukudharau hapana! Bali umegusa mambo ambayo nilikwambia tayari nilishaya experience kwa zaidi ya miaka 30,maswali yako hayana majibu, kwababu unaongelea matambiko lakini kwa mtazamo wa imani za dini za kiabrahamu. (hapo una kosea) na unaongelea uungu kwa tafsiri na imanai za dini hizo za kislamu na kikristu (hapo pia unakosea)
mizimu hatuabudu tunai activate.
mzimu ni neno la kishona, tafsri yake ni mizizi yangu, MIDZI-MIZIZI /////UMU-WANGU (MIDZIUMU)
na inaishi kwenye DNA za kila mmja wetu. sasa hapa ni swala la amani, mimi naamini babu yangu anaishi na mimi kila siku coz yupo kwenye DNA yangu.
kuna matambiko specila kwaajili ya ku activate DNA za mtu. hii ikikuingia sana, ndio unaanza kupata experience za kumuona babu yake ukilala. kama ambavyo walokole wanamuona yesu wakilala.(yesu wa kwenye picha za ukutani)
na mzimu hauwezi kua mtu yyte, bali yule alieishi vyema. na huyo ndio tuna activate DNA yake.
huwezi ku activate DNA yake kama hujawahi kumuona au hujawahi kusikia story yake, ili uwe inspired.
kuna mangi ku unpack kuhusu afrikan philosophy. lakini wakoloni hawakua na muda wa kustudy hio filosofi, wakaipachika jina na devilish practices.
Uko sahihi, hakuna kitu kinaitwa shetani kwenye muktadha halisia, huyo ni mhusika wa kubuni tu kwenye hadithi za kutungwa na watuKama ni hivyo basi tukubaliane hakuna shetani,,, [emoji848][emoji849][emoji19]
No, Shetani si kitu halisia, ni dhana kwenye mawazo yako katika kutafsiri matukio.shetani yupo, anatenda kazi vyema kabisa. kila jamii ina namna ilivyo mchora shetani wake na mungu wake. hadithi za kufikilika hizi. lakini zinaukweli bayana kabisana katika maisha yetu ya kila siku.
Shetani wa waisraeli ni tofauti na shetani wa Aguni na hata wa giriki, majina hawafanani, lakini sifa karibia zote ni zile zile : kwamba ni mbaya, na ubaya ni yeye.
Good ✔️✅Hakuna shetani wala Mungu... Mambo hayo ni kujitoa ufahamu na uwajibikaji
Sent using Jamii Forums mobile app
Shetani anataka watu waamini kwamba ama hayupo, au ana nguvu sana.Kama ni hivyo basi tukubaliane hakuna shetani,,, [emoji848][emoji849][emoji19]
Sahihi kabisa.Ndugu, nimecheka kidogo! Sio kwa kukudharau hapana! Bali umegusa mambo ambayo nilikwambia tayari nilishaya experience kwa zaidi ya miaka 30,
Hayo ya kumuona babu yako nilisha yafanya miaka mingi, Tena sio kumuona tu, tulikuwa tunakula nae na kushiriki mambo mengi pamoja nae! Na sio Babu tu hata ndugu wengine waliokufa zamani walitokea na kuongea nao na kula nao!
Tena hao mababu wazamani na ndugu waliokufa walikuwa wakitokea wanakwambia mambo ambayo unakuja kuyaona baadae! Mambo ambayo lazima yatokee na yanatokea kweli! Akikwambia kuna hili na hili Basi ujue piga ua lazima litokee kweli, na linatokea muda si mrefu! Ni kiasi tu cha kujiandaa na hilo jambo!
Kwahiyo nasema tena matambiko ni IBADA sio utamaduni tu! Tena ibada yenye matokeo! Iwe unajua au hujui, mambo ya mizimu kuwa kwenye damu hiyo sio kweli inategemea na ushirika wako na hiyo mizimu! Otherwise unaongelea scientific! Genetics au vinasaba ni kweli viko kwenye damu kwasababu wazee wetu ndio wametuzaa tumecoppy genetics zao! Lakini hapa tunazungumzia MIZIMU kama ROHO na sio scientifically!
Matambiko ni mambo ya kiroho (spiritual) na sio kisayansi (scientifically) hivyo roho haina genetics Bali mwili.
Shetani siyo jina, ni "job description" ya Lusifa.Uko sahihi, hakuna kitu kinaitwa shetani kwenye muktadha halisia, huyo ni mhusika wa kubuni tu kwenye hadithi za kutungwa na watu
Ndugu, nimecheka kidogo! Sio kwa kukudharau hapana! Bali umegusa mambo ambayo nilikwambia tayari nilishaya experience kwa zaidi ya miaka 30,
Hayo ya kumuona babu yako nilisha yafanya miaka mingi, Tena sio kumuona tu, tulikuwa tunakula nae na kushiriki mambo mengi pamoja nae! Na sio Babu tu hata ndugu wengine waliokufa zamani walitokea na kuongea nao na kula nao!
Tena hao mababu wazamani na ndugu waliokufa walikuwa wakitokea wanakwambia mambo ambayo unakuja kuyaona baadae! Mambo ambayo lazima yatokee na yanatokea kweli! Akikwambia kuna hili na hili Basi ujue piga ua lazima litokee kweli, na linatokea muda si mrefu! Ni kiasi tu cha kujiandaa na hilo jambo!
Kwahiyo nasema tena matambiko ni IBADA sio utamaduni tu! Tena ibada yenye matokeo! Iwe unajua au hujui, mambo ya mizimu kuwa kwenye damu hiyo sio kweli inategemea na ushirika wako na hiyo mizimu! Otherwise unaongelea scientific! Genetics au vinasaba ni kweli viko kwenye damu kwasababu wazee wetu ndio wametuzaa tumecoppy genetics zao! Lakini hapa tunazungumzia MIZIMU kama ROHO na sio scientifically!
Matambiko ni mambo ya kiroho (spiritual) na sio kisayansi (scientifically) hivyo roho haina genetics Bali mwsawa
namaanisha sifa zake ni za uhalisia. lakini hakuna kiumbe ambacho ni shetanNo, Shetani si kitu halisia, ni dhana kwenye mawazo yako katika kutafsiri matukio.
Unaweza kututhibitishia shetani yupo?
hapana sijasema hivyoUafrica ni ushetan uzungu na uarabu ni u Mungu asante sana ewe mtumwnani kasema hivyo
Uafrica ni ushetan uzungu na uarabu ni u Mungu asante sana ewe mtumwa
Ndugu, nimecheka kidogo! Sio kwa kukudharau hapana! Bali umegusa mambo ambayo nilikwambia tayari nilishaya experience kwa zaidi ya miaka 30,
mimi tokea nianze kutambika, sijawahi kula na babu yangu aliekufaga au ndugu walio kufaga. labda ndio maana mlianza ku experience mabaya.Hayo ya kumuona babu yako nilisha yafanya miaka mingi, Tena sio kumuona tu, tulikuwa tunakula nae na kushiriki mambo mengi pamoja nae! Na sio Babu tu hata ndugu wengine waliokufa zamani walitokea na kuongea nao na kula nao!
ibada ni utamaduni wa watu husika.Tena hao mababu wazamani na ndugu waliokufa walikuwa wakitokea wanakwambia mambo ambayo unakuja kuyaona baadae! Mambo ambayo lazima yatokee na yanatokea kweli! Akikwambia kuna hili na hili Basi ujue piga ua lazima litokee kweli, na linatokea muda si mrefu! Ni kiasi tu cha kujiandaa na hilo jambo!
Kwahiyo nasema tena matambiko ni IBADA sio utamaduni tu!
mizimu maana yake wazazi wako wakale walio kufa. ni damu yako, na wapo kwenye vinasaba vyako. ukatae ukubali, wewe ni cheme hai kabisa ya babu wa baba yako na babu wa babu yako.Tena ibada yenye matokeo! Iwe unajua au hujui, mambo ya mizimu kuwa kwenye damu hiyo sio kweli inategemea na ushirika wako na hiyo mizimu!
mizimu nimekwambia maana yake wwazee wako, haijalishi ni wamekufa au wako hai. na hii ikiwa na maana mizizi yako, wewe na matawi.Otherwise unaongelea scientific! Genetics au vinasaba ni kweli viko kwenye damu kwasababu wazee wetu ndio wametuzaa tumecoppy genetics zao! Lakini hapa tunazungumzia MIZIMU kama ROHO na sio scientifically!
matambiko ni mambo ya kimwili, yanayo leta experiences za kiroho kwa mtu. hakuna mambo ya kiroho bila kuanzia kwenye mwili.Matambiko ni mambo ya kiroho (spiritual) na sio kisayansi (scientifically) hivyo roho haina genetics Bali mwili.
Ila wewe una vinasaba vya ukibwetele huko unako sali. Ujuaji mwingi sana. PiaNdugu, nimecheka kidogo! Sio kwa kukudharau hapana! Bali umegusa mambo ambayo nilikwambia tayari nilishaya experience kwa zaidi ya miaka 30,
Hayo ya kumuona babu yako nilisha yafanya miaka mingi, Tena sio kumuona tu, tulikuwa tunakula nae na kushiriki mambo mengi pamoja nae! Na sio Babu tu hata ndugu wengine waliokufa zamani walitokea na kuongea nao na kula nao!
Tena hao mababu wazamani na ndugu waliokufa walikuwa wakitokea wanakwambia mambo ambayo unakuja kuyaona baadae! Mambo ambayo lazima yatokee na yanatokea kweli! Akikwambia kuna hili na hili Basi ujue piga ua lazima litokee kweli, na linatokea muda si mrefu! Ni kiasi tu cha kujiandaa na hilo jambo!
Kwahiyo nasema tena matambiko ni IBADA sio utamaduni tu! Tena ibada yenye matokeo! Iwe unajua au hujui, mambo ya mizimu kuwa kwenye damu hiyo sio kweli inategemea na ushirika wako na hiyo mizimu! Otherwise unaongelea scientific! Genetics au vinasaba ni kweli viko kwenye damu kwasababu wazee wetu ndio wametuzaa tumecoppy genetics zao! Lakini hapa tunazungumzia MIZIMU kama ROHO na sio scientifically!
Matambiko ni mambo ya kiroho (spiritual) na sio kisayansi (scientifically) hivyo roho haina genetics Bali mwili.
Lusifa? Lusifa ni nani na anafanya kazi ipi mkuuShetani siyo jina, ni "job description" ya Lusifa.
Ukiona mtu anatukana au kukashifu ni dalili ya kukosa kitu kichwani tunaita TABULA LASA yaani kopo tupu!Ila wewe una vinasaba vya ukibwetele huko unako sali. Ujuaji mwingi sana. Pia
Kabla ya kuwa Shetani, alikuwa Malaika wa sifa, akimwabudu Mungu.Lusifa? Lusifa ni nani na anafanya kazi ipi mkuu
Huyu Lusifa ni wa wapi.
mimi tokea nianze kutambika, sijawahi kula na babu yangu aliekufaga au ndugu walio kufaga. labda ndio maana mlianza ku experience mabaya.
Ndio maana Nikakwambia bado kiwango chako Cha kutambika ni kidogo sana! Muelekeo wa matambiko ni ushirika na Babu zako waliokufa! Finally mtakuja kuungana nao kwenye kwenye hizo ibada za matambiko kwa kula na kunywa hivyo vitu mnavyovitambika kama kafara au sadaka!
ibada ni utamaduni wa watu husika.
Ibada sio tu utamaduni Bali ni zaidi ya huo utamaduni ibada ni mambo ya kiroho zaidi yanahusiana na miungu au Mungu!
mizimu maana yake wazazi wako wakale walio kufa. ni damu yako, na wapo kwenye vinasaba vyako. ukatae ukubali, wewe ni cheme hai kabisa ya babu wa baba yako na babu wa babu yako.
Mizimu kweli ni wazee wako waliokufa, lakini ibada ya mizimu haina visaba na wazee wako! Matambiko ni ibada, na ibada ni tendo la kiroho sio mwili. Roho haina visabana Bali mwili.
mizimu nimekwambia maana yake wwazee wako, haijalishi ni wamekufa au wako hai. na hii ikiwa na maana mizizi yako, wewe na matawi.
Sina tatizo na definition ya mizimu, tatizo ni ibada ya matambiko! Matambiko ni ibada iwe kwa mizimu au miungu! Tunacho tofautiana ni definition ya neno matambiko! So Ibada ya matambiko haina vinasaba!
matambiko ni mambo ya kimwili, yanayo leta experiences za kiroho kwa mtu. hakuna mambo ya kiroho bila kuanzia kwenye mwili.
sio kuabudu, bali ku apriciate uwezo wao walipo hai, na kuomba mungu akupe uwezo kama wao, na ulinzi wao uwe pamoja nawe.Matambiko ni tendo la kimwili kweli lenye maana ya kiroho! Maana hao mizimu hawako kwenye mwili Bali ni roho zilizokufa zamani! Unapotafuta mahusiano na roho, kinachoshirikiana hapo ni roho yako na roho zao! Matambiko ni ibada ya kuabudu roho za mababu waliokufa zamani. Kwakutafuta ushirika nao!
Shetani+malaika+MunguKabla ya kuwa Shetani, alikuwa Malaika wa sifa, akimwabudu Mungu.
Baada ya kuasi, akawa Shetani. Kwa sasa anafanya biashara ya kudanganya wanadamu.