AFRIKAN GUY
Senior Member
- Jun 26, 2015
- 102
- 110
shetani yupo, anatenda kazi vyema kabisa. kila jamii ina namna ilivyo mchora shetani wake na mungu wake. hadithi za kufikilika hizi. lakini zinaukweli bayana kabisana katika maisha yetu ya kila siku.Kama ni hivyo basi tukubaliane hakuna shetani,,, [emoji848][emoji849][emoji19]
kabisa yaani.Hata hizo dini za Ibrahim hua wanatumia wanyama kutambika, rejea kisa cha Ibrahim mwenyewe na mwanae.
Shetani ni utendaji mwovu, hata binam akiwa mwovu sana tunaweza kumwita shetani,shetani yupo, anatenda kazi vyema kabisa. kila jamii ina namna ilivyo mchora shetani wake na mungu wake. hadithi za kufikilika hizi. lakini zinaukweli bayana kabisana katika maisha yetu ya kila siku. shetani wa waisraeli ni tofauti na shetani wa Aguni na hata wa giriki, majina hawafanani, lakini sifa karibia zote ni zile zile : kwamba ni mbaya, na ubaya ni yeye.
pole kwa kutwa na tukio hilo, kuna mambo mengi yanaweza kuchangia. rudi kwa wazee wakuelimishe, lakini sio lazima kutambika kiafrika, unaweza tambika kiroma au kiarabu kama inafanya kazi kwako.Shetani ni utendaji mwovu, hata binam akiwa mwovu sana tunaweza kumwita shetani...
Ndio maana nakwambia wewe to naandika kitu usichokijua na Sina muda wa kuandika story ndefu hapa,pole kwa kutwa na tukio hilo, kuna mambo mengi yanaweza kuchangia. rudi kwa wazee wakuelimishe, lakini sio lazima kutambika kiafrika, unaweza tambika kiroma au kiarabu kama inafanya kazi kwako.
Hakuna shetani wala Mungu... Mambo hayo ni kujitoa ufahamu na uwajibikajiKama ni hivyo basi tukubaliane hakuna shetani,,, [emoji848][emoji849][emoji19]
[emoji848][emoji849][emoji26]Hakuna shetani wala Mungu... Mambo hayo ni kujitoa ufahamu na uwajibikaji
Sent using Jamii Forums mobile app
nakijua ndio maana nakiongelea. na sitaki kujifanya najua kuliko wewe. kwasababu unachokisema kimekutokea ni kweli inatokea, na si kwasababa ya ubaya wa tambiko, bali kwasabab za mtu binafsi. vile vile naushuhuda wa mambo hayo hayo kwa watu wa dini za kibrahamu. ni swala la kukaa na viongozi wako na kulieleza.Ndio maana nakwambia wewe to naandika kitu usichokijua na Sina muda wa kuandika story ndefu hapa,
Haya mambo ya matambiko sisi wenzako tumeishi nayo na tumeyafanya kwa zaidi ya miaka 30, sio mambo ya kusema "rudi kwa wazee wako!" Au "tambika kwa kitoroma au kiarabu!...
Pengine kweli umepitia huko! Sipingi, lakini tunatofautia uzoefu na ufahamu! Na ujuzi wangu na uzoefu wangu hauwezi lingana na wako!nakijua ndio maana nakiongelea. na sitaki kujifanya najua kuliko wewe. kwasababu unachokisema kimekutokea ni kweli inatokea, na si kwasababa ya ubaya wa tambiko, bali kwasabab za mtu binafsi. vile vile naushuhuda wa mambo hayo hayo kwa watu wa dini za kibrahamu. ni swala la kukaa na viongozi wako na kulieleza.
sijui kuhusu uzoefu wetu.Pengine kweli umepitia huko! Sipingi, lakini tunatofautia uzoefu na ufahamu! Na ujuzi wangu na uzoefu wangu hauwezi lingana na wako!
Na najua exactly tatizo lilikuwa nini!! Pia sio kwangu tu! Bali kwa familiar nzima hata ukoo na jamii inayotuzunguka inayofanya hayo matambiko pia!
Kiujumla hao viongozi unao wazungumzia walizidiwa kete! Matambiko yakiwa "serious" ni hatari sana hata kuliko uchawi! Achana nayo! Unaweza kuzunguka dunia nzima na usipate dawa! Ashukuriwe Mungu anaeweza yote!
Nakushauri ndugu yangu achana na hayo madudu tena epuka sana kuwaingiza wanao kwenye laana hiyo! Utakuja kuwapa tabu ya buree kujitoa humo! Maana matambiko ni kuuza nafsi yako kwa shetani kwahiari yako binafsi! Be aware bro!
tambiko ni tukio adhimu la kidini lenye mfululizo wa vitendo vinavyofanywa kwa utaratibu uliowekwa. so kua makini na tukio unalo fanya, sio kila tambiko ni jema au zuri kwa afya ya roho yako.Pengine kweli umepitia huko! Sipingi, lakini tunatofautia uzoefu na ufahamu! Na ujuzi wangu na uzoefu wangu hauwezi lingana na wako...
Imani ni kitu Cha ajabu sana! Wengine useme imani ni kama kuvuta bangi! Ukizidiwa na imani bila maarifa na ufahamu matokeo yake ndio hayo ya ugaidi, ukibwetere na hata kuonekana mtu wa ajabu ajabu!sijui kuhusu uzoefu wetu.
kama kweli ulikua ndani ya imani hio, kuna namna nyingi za kutatua haya mambo. yanatokea kwenye kila iman...
Kwenye kila matambiko (ibada) kuna madhabahu ! Kwenye kila madhabahu kuna Mungu/miungu/mizimu anaye/inayo abudiwa hapo! Kwenye kila Mungu/miungu/mizimu kuna agenda yake ya kuabudiwa na matakwa yake!tambiko ni tukio adhimu la kidini lenye mfululizo wa vitendo vinavyofanywa kwa utaratibu uliowekwa. so kua makini na tukio unalo fanya, sio kila tambiko ni jema au zuri kwa afya ya roho yako.
sawa, lakini sio tambiko letu(jamii yangu)Imani ni kitu Cha ajabu sana! Wengine useme imani ni kama kuvuta bangi! Ukizidiwa na imani bila maarifa na ufahamu matokeo yake ndio hayo ya ugaidi, ukibwetere na hata kuonekana mtu wa ajabu ajabu...
maswali yako hayana majibu, kwababu unaongelea matambiko lakini kwa mtazamo wa imani za dini za kiabrahamu. (hapo una kosea) na unaongelea uungu kwa tafsiri na imanai za dini hizo za kislamu na kikristu (hapo pia unakosea)Kwenye kila matambiko (ibada) kuna madhabahu ! Kwenye kila madhabahu kuna Mungu/miungu/mizimu anaye/inayo abudiwa hapo! Kwenye kila Mungu/miungu/mizimu kuna agenda yake ya kuabudiwa na matakwa yake!
Huyo Mungu au miungu inayoabudiwa hapo unaijua ni miungu gani?! Na ina mkataba gani na hao wazee wako (Kuna agano gani liliwekwa kati yao na miungu/mizimu hiyo hapo zamani)?! Na je, inaweza au imeshaweza kuachilia madhara/laana kiasi gani kwa wale wasio mtii/mwabudu au kutimiza matakwa yake(miungu/mizimu hiyo)?!
Naendelea kukariri kwamba "naheshimu imani yako!"sawa, lakini sio tambiko letu(jamii yangu)