Matairi chakavu sasa ni dili

FRANCIS DA DON

JF-Expert Member
Joined
Sep 4, 2013
Posts
41,021
Reaction score
47,112
Natarajia kuanzisha kiwanda cha kuchakata matairi chakavu na kutumia malighafi itokanayo kutengeneza bidhaa mbali mbali kama rubber carpets na nyingine nyingi ambazo ni siri ya kibiashara kwa sasa. Mniombee
 
Attachments

Mimi ninawazo linanisumbua kwa mda mrefu sana kichwani mwangumwangu nashindwa jinsi ya kulifanyia kazi
 
Ishuu hiyo ukifanikiwa, utapata tuzo ya kutunza mazingira
 
Thanks..! Ila bongo tupunguze urasimu kama kweli tunataka viwanda
Wazo zuri kiongozi ila jiandae na kodi rukuki! NEMC they are not better hapa lazimu wakupurure! Sijui unayachakataje? Kama kuyayeyusha hapo ndo shughuli na NEMC itakapokuwapo! Fire they are not friendly jiandae, OSHA kero nyengine!
 
Umeshaanza kutafuta na masomo ya tyre nini maana huku kwetu vijiweni tyre zimeng'olewa ghafla
 
Hongera mkuu Mungu akujalalie nawe uwe sehemu ya ajira kwa wengine wengi.
 
Natarajia kuanzisha kiwanda cha kuchakata matairi chakavu na kutumia malighafi itokanayo kutengeneza bidhaa mbali mbali kama rubber carpets na nyingine nyingi ambazo ni siri ya kibiashara kwa sasa. Mniombee
ukiweka hicho bongo, mateja wataiba tairi za watu hadi tulie. na utapata maligafi nyingi kwa bei ya chini. teja hayo matairi utakuwa unawapa buku tu au buku mbili anaenda kuvuta unga, na kesho tena.
 
Safi sana, Mungu akutangulie katika uthubutu wako
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…