MATAGA: Brilliant idea, poor execution


Bila kupinga mawazo yako, hayo huyo jamaa aliyoandika inawezekana isiwe kweli kwa 100%, lakini kuna ukweli mwingi tu kutokana na kile kinachoendelea. Mkulu anataka tuamini sio mtu wa siasa, lakini ukweli jamaa anaongozwa na hisia za kisiasa kwa zaidi ya 90%. Tatizo lake ni moja hawezi siasa za ushindani ndio maana anakuja na makatazo haramu.

Huo ushirikiano wa hiyo tiss na hilo kundi uko sana na wote wanaongozwa na hisia za kisiasa. Kwa hili hata ubishe vipi huo ndio ukweli. Na matokeo ya huo ushirikiano ni hawa watu wanaookotwa kwenye viroba.
 
Artificial Intelligence and Autonomy The global race to develop artificial intelligence (AI) likely to accelerate the development of highly implication — systems that imitate aspects of human cognition capable, application— is specific AI systems with national security s and deploy . capabilities, AIAs academia, major companies, and large government programs continue to develop AI enhanced systems are likely to be trusted with increasing levels of autonomy and decisionmaking, presenting the world with a host of economic , military, ethical, and 15 16 privacy challenges. Furthermore, interactions between multiple advanced AI systems could lead to unexpected outcomes that increase the risk of economic miscalculation or battlefield surprise.
 
Si kweli.

Mara nyingi Sana nafuatilia taarifa zako nikiamini kwamba ziko sahihi.

Ila hapa ndugu, umeingia Chaka Live. Mwambie aliekutumia taarifa kaingia Chaka.

Asante Sana

Sent using Jamii Forums mobile app
 
MATAGA haihusiki na Bashite Wala haiko chini ya Dr Abbas na habari maelezo Wala haiko chini ya Gerson.

Uliyoyaandika mengine kuhusu CCM uko sahihi.

Asante.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
MATAGA imekosewa pale iliporuhusu kuundwa KIKOSI KAZI MAALUMU ambacho hakipo kikatiba cha kudhuru wananchi kwa mrengo wa kisiasa kwa kisingizio kulinda uzalendo na kumfurahisha bwana mkubwa.

Kosa jingine hilo la zoa zoa kuweka makada kuwa ma RC DC RAS na DED hiyo imeshusha morali ya wafanyakazi wa kudumu.

Kosa la tatu kuwatisha wafanya biashara kwa kesi lukuki na kuwanyang'anya mali zao kimya kimya

Kosa la nne sera za uchumi kwa. Sasa hazitabiriki inategemea jamaa ataamkaje kilicho halali leo kesho chaweza kuwa haramu

LIKUD
Lizaboni
USSR
FaizaFoxy
Mshana Jr
PASKALI mayalla
 
Bashite hana nguvu za chama na serikali? Nimekudharau sana. Aliendaje Clouds kuvamia na mpaka leo kimyaaa?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
In other words ni kwamba wanategemeana? Hii relation itabid ivunjike ili tutengeneze Tiss ya kueleweka.
Tiss itaendelea kutumika kisiasa mpaka lini?
They have to change

Sent using Jamii Forums mobile app
Kuna mmoja anajiita Msemaji ukweli, CCM yeye ndio msemaji, TISS yeye ndio msemaji, serikalini yeye ndio msemaji ! kuwastukia ni rahisi sana!
 
Evarist Chahali,
Nondo kama hizi za Full Worldwide threats kuwekwa hapa jukwaani, zinaifanya JamiiForums kuwa kimbilio la kupata habari za kila aina. Ngoja kwanza niisome ripoti hii ya Daniel R Coats halafu nije kuiangalia kwa undani MATAGA.
 
Paulo amepata nafasi ku infiltrate!? Duh

hapo MATAGA sio MATAGA ya bwana Abbas, itakuwa kiteng ndani ya kitengo chenye kuaminiwa zaidi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…