Maswali

mti wa bib

Senior Member
Joined
Oct 4, 2018
Posts
138
Reaction score
120
Habar wa Jami forum,samahani Nina maswali mawili yanayonitatiza kwenye kichwa changu,,,mke Wang alijifunga tarehe 22 mwezi wa 8 lkn mpaka sasa ameniambia hajaona siku zake za hedhi,,je mwanamke humaliza Siku ngap kwenda hedhi baada ya kujifungua na je sindano za mpango wa uzazi haziathir SKU za hedhi na afya ya mtot?????
 
Sindano noma sana mwaka wa 3 huu tangu waifu aache kuchoma lakini bado hatujapata kitinda mimba . na kuhusu shemeji hapo kutopata siku zake kawaida tu hiyo isikutishe ila kuwa makini maana inaweza tunga mimba nyingine dk0 ukabaki unang'aa sharubu kama kunguru mwitu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…