Maswali yangu kwa "wanautamu!"

Maswali yangu kwa "wanautamu!"

Weakman

JF-Expert Member
Joined
Jul 23, 2021
Posts
1,092
Reaction score
1,696
Njooni hapa mujibu maswali!

Acheni propaganda zenu kuaminisha kuwa papuchi ni tamu!
Wenyewe wanariiingaaa! Hahahaahaaa!

Kwanza ijulikane kuwa utamu wa penzi anaoupata mwanamume ni pale tu mbegu za kiume zinapotiririka kutoka kwenye viungo vya kiume kwenda kwenye uke!
Kama wewe Ni mwanamume ukanushe hii kauli!

Hapa tunapata maswali ya msingi

1. Kama papuchi Ni tamu, vipi tena utamu uonekane wakati wa kutiririsha mbegu, na si wakati mwingine wowote kipindi ambacho sex inafanyika?

2. Kama papuchi Ni tamu, kwanini utamu huo usionekane Mara tu baada ya uume kuingizwa?

3. Kama papuchi Ni tamu, iweje wapiga nyeto, na waotaji wa ndoto nyevu wapate utamu uleule unaopatikana wakati wa sex?

4. Kama papuchi Ni tamu, iweje wazee wa tigo, wanaenjoy pia kwa utamu maradufu?
Kwani kuna utamu umewekwa pia kwenye tigo, wakati tumekubaliana humu kuwa aliyeumba tigo hajaihalalisha kwa shughuli hio?

Ukishindwa kujibu maswali haya, Soma ufafanuzi!

Mbegu za kiume za uzazi zinapotiririshwa kutoka kwenye viungo vyake, humpa mwanamume hisia Kali ya utamu, hakika ni utamu kwelikweli!

Utamu huongezeka kwa kutegemea uwingi wa mbegu hizo zinazotiririka na spidi ya kutiririka kwake
Na Mambo hayo mawili yaani uwingi wa mbegu na spidi ya kutiririka hutegemea msisimko wa mwili wa mwanamume wakati wa kufanya sex

Je, papuchi ni tamu? Au tigo Ni tamu?

Kumbuka nimeeleza kuwa utamu husababishwa na hisia ya mtiririko wa mbegu, hisia hii huongezeka kulingana na uwingi na spidi ya kutiririka kwa mbegu

Pia nimesema uwingi wa mbegu na spidi yake hutegemea uwingi wa msisimko wa mwili wakati wa kufanya sex

Msisimko mkubwa husababisha mume kutiririsha mbegu zake kwa wingi na kwa spidi kubwa hivyo kusababisha apate hisia kubwa ya utamu

Wanawake wako tofauti linapokuja suala la kumsisimua mwanamume, na hii inategemea umbo la mwanamke, mapambo, usafi, harufu, sauti, maneno, ngozi, matendo ya sex, Hali na muonekano wa papuchi yenyewe, mshikamano au mbanano wa uume na uke wakati wa sex

Hapa ndipo wanaume wanaporogwa na kuamini utamu wanaopata Ni Mali ya mwanamke, hahahahahaa
 
Kama necta nishafeli hapa ngoja waje wazee wa kula tunda kimaskhara wakupe majibu yako
 
Saa Kumi na nusu mtu anaamka anawaza papuchi,...wanaume tumerogwa
Bro, huu muda muafaka Sana wa kula tunda!

Kwa mabachelor Ni muda wanaopata tabu kuamka na mikuyenge yao imesimama!

Na ndio maana wewe umeamka na kuanza kupitia nyuzi za love connect
 
Hizi chapati zilizoanza mapenzi ukubwani zinatusumbua na nyuzi zao.

Mmoja kila siku analeta stori za kuteswa na mchepuko.

Haka kajamaa nako kanaanzisha mada nonsense.
 
Kwa kawaida raha ya mapenzi sio kupiz tu, inaanza pale unapoingiz lile joto la k na jinsi ilivyobana uume ndo raha zenyewe
Hio Ni Raha sio utamu!

Kulala pamoja, kula pamoja, kuongea pamoja, kukiss, kukumbatiana, sms za mapenzi, kwenda out pamoja, kufarijiana wakati wa shida n.k, hizo zote ni raha za mapenzi
 
Hizi chapati zilizoanza mapenzi ukubwani zinatusumbua na nyuzi zao.

Mmoja kila siku analeta stori za kuteswa na mchepuko.

Haka kajamaa nako kanaanzisha mada nonsense.
Mkuu, hio mada sio nonsense!

Ni mada ya kuondoa fikra potofu katika mapenzi

Tunataka usawa wa kijinsia, na si wengine waamini wamemiliki utamu nyumbani na kutumia Imani hio kuwatesa wengine!
 
Hizi chapati zilizoanza mapenzi ukubwani zinatusumbua na nyuzi zao.

Mmoja kila siku analeta stori za kuteswa na mchepuko.

Haka kajamaa nako kanaanzisha mada nonsense.
Je, Kuna mada nonsense humu ndani zaidi ya ile ya kimasihara?
 
Back
Top Bottom